Am i heart-broken o am just being dissappointed??????

Achana nae he was not meant for you, angalia masomo yako mdogo wangu. Itakuwa tabu but it possible utamsahau with time. Kuzidi kumpigia masimu or texting ni kujidhalilisha zaidi.

Move on.......
 
Forget him and move on..., Time is the best healer..

Huyo mtu hakufai wala he doesn't deserve your luv.. (kumbuka investing luv on someone kunakuwa na chemical and emotional attachment) ambayo it grows with time hivyo basi ni bora it has finished before it has started sababu angekuacha down the road maybe ingekuuma sana.

Pia kumbuka kwamba watu tunatamani zaidi kitu ambacho hatujakipata (hivyo basi feelings zako kwake huenda zipo exaggerated sababu amekuacha, you have made him to be someone more than he is.., huenda labda ungekuwa nae zaidi ungegundua weaknesses zake nyingine ambazo ungeona he is not all that)

Cha muhimu kata kabisa mahusiano and forget him.., sababu uki-fall in love kwa mtu ambae hakuthamini itakuwa ni mateso zaidi (akunyimae kunde......, akupunguzia mashuzi....)
 
yaani waanauzi sana na ukizingatia wanaoandika hivi field inakuwa inanafasi kubwa.

hawajui hii ni kwenye vi sms eeh inaeleweka mtu kubana pesa.

vitoto vya facebook hivyo, visameheni.... sijui vina-save nini kwa kuandika hivyo
 
kama umempenda kweli basi u need to go DOWN

down ipi unayotaka aende inamaanisha yeye ndo amekosa au unamaanisha nn huyo jamaa anataka kula supu atambae binti kaza uzi hivyo hivyo.Going down iz crazy
 
Mtambuzi sijui yuko wapi nasikia ndo anafundisha darasa la mambo haya atakuwa na experience.
 
vitoto vya facebook hivyo, visameheni.... sijui vina-save nini kwa kuandika hivyo

you just have to advise,kama huwezi am sure you have alot of things to do rather than insulting me!am sorry kama ntakukwaza
 

thank you,stay blessed
 
huyo Eddy hukuzaliwa nae....
Utamia kwa muda ila in time utakuwa sawa....
Songa mbele, utampata atakayekupenda kiukweli na kukuthamini....
 
Dada utapata tu wako we fanya maendeleo yako kwanzag
 
usijali mwaya huyo ni mlaghai tu usijishushie hadhi we mwanamke bwana unatafutwa wasiwasi wa nini???achana na eddy hukuzaliwa naye.he is not the only man left in the world,ingawa naelewa inauma but jikaze mtoto mzuri at last utamtoa tu kichani mwako got that??????????
 
nlimpenda and still nampenda,and nakumbuka sijagombana nae hat kidog cause nilimtumia sms kumwomba msamaha kama ntakuwa nimemkosea au kumkwaza kwa namna moja au nyingine lakin hakujibu:A S cry::A S cry:

Assume mi ni EDDY, na nimepokea simu. Then Nakuambia kwamba hata mi nakupenda, but kwa kuwa haukuwa tayari kwa sex, na kwa kuwa mimi nilikuwa naihitaji, kwa bahati mbaya nilijikuta nimenasa kwa dem mwingine ambaye amekubali kunifunulia bila ubishi sana. Simpendi sana huyu dem na najua hata yeye hanipend kama wewe. Hata hivyo nimeamua nijiweke mbali na wewe na ikiwezekana niachane na wewe kwa sababu kwa ninavyokupenda, siko tayari kuona nakucheat. Natamani ubadilishe mawazo Lindz kabla sijazama sana huku, but kwa kuwa ni msimamo wako, naomba niuheshimu. Sex ni udhaifu wangu na hata nikijidanganya kusubiri hadi tuoane, nitakuwa najidanganya.

Love, you... Mwaaah


Hapo ungejibuje lindz?
 
Vianafunzi navyo bhana! at this tender age umeshaanza ku-ngonoka....You can only do one thing at a time, period!
 
before him u survived! now u r surving! and after him u will survive!, leave nature to take its place, focus ahead!
 
Kaunga vp tena umeshafikilia uvinza nin?

wewe unaona ushauri aliompa mwenzie ni sahihi, going DOWN, meaning angeBLOW huyo kaka kwa vile amesema sex no for now?
 
Maamuz ni yako binti,yaheshimu...kama hujisiki,hacha tu.kama kapata mwingine na wewe tafuta wa kwako.anaekupenda hakuachi.huyo alitaka sex tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…