Am I wrong if I process divorce?

Yeah yani bora hata mwanamke kama hawezi kuinput mawazo yenye tija basi awe chief comforter na kukufuta jasho mume ili akupe boost ya kupambana zaidi kuwa ipo siku you will make it! Sasa mwanamke anageuka mchambaji 😅😅😅
nakwambia,,,ila mkuu kuna wanaume visirani hadi unashindwa kupumua huko ndani

my advice watu wasikilizane tu kila kitu kitaenda sawa
 
yaani unachosema ni kweli, too much blaiming the other side is not solving the matter, uliza ujue kwa nini mambo yamebadilka na msolve pamoja if at all inawezekana.

ila all in all peace of mind is the goal
Nimefanywa mjinga..hili nimezinduka . Naamini sina la kuuliza tena nijue. I apologized even when i was right..nijue nini tena.
Peace of mind is my current need right now dear
 
Pole sana for what you are going through. Because umesema you a God fearing person let me focus on spiritual advice. Kipigo kwanza sio kizuri might end your life completely. Mtu anayepiga hadi unalazwa please think twice. Kuhusu kujipanga thats a great idea. Another point pray and maintain inner peace. Soma Yeremia 15:19-21 itakusaidia mahali. Meditate and tell God to show you the way. Anaweza kukufukuza mwenyewe na utoke kwa amani. Jamii yetu imejaa lawama nyingi mkuu na nyingi zinatupiwaga wanawake, and to be clear watu wanaweza kusikiliza story yako at first wakiwa na matumaini ya kubadili kitu ila wakishindwa watakukwepa au kukutangaza. Beba mwenyewe, when you are overwhelmed tell God as your father. I am sure you will be out of this in no time. All the best maa
 
Kusikilizana ni muhimu kuliko chochote
nakwambia,,,ila mkuu kuna wanaume visirani hadi unashindwa kupumua huko ndani

my advice watu wasikilizane tu kila kitu kitaenda sawa
 
nakwambia,,,ila mkuu kuna wanaume visirani hadi unashindwa kupumua huko ndani

my advice watu wasikilizane tu kila kitu kitaenda sawa
Huyu ni kisirani wa kutupa..ofcoz raised by a single parent na mimi nimekulia na wazazi wote wawili who loved each other so dearly na hata kama walishagombana sikuwahi kuwaona kwa macho yangu
 
This is so powerful..be blessed. Asante sana.
 
Kaolewa lini huyo 😂😂😂
 
Daah okay thank you lakini
 
Nimefanywa mjinga..hili nimezinduka . Naamini sina la kuuliza tena nijue. I apologized even when i was right..nijue nini tena.
Peace of mind is my current need right now dear
that is the goal darling,,,hapo hiyo qoute nimemquote mwingine tu nikisema watu wajue namna gani ya kusikizana,,, mm kwako naomba uwe na peace of mind and never leave God,, sema nae akupe mwongozo wa maisha and you shall know why God himself decided to bring you here on earth,,, kwa kuwa dhumuni lake kuu ni wewe umtukuze yeye pekeee kwa kufurahia mema ya nchi.

if you are happy am happy too. I love peace
 
Huyu ni kisirani wa kutupa..ofcoz raised by a single parent na mimi nimekulia na wazazi wote wawili who loved each other so dearly na hata kama walishagombana sikuwahi kuwaona kwa macho yangu
I damn thought of this, wanaume waliolelewa na single parents wanakuwaga bitter and careless sana! Huyo jamaa yako ni kijana wa kichagga bila shaka, prove me wrong!
 
Huyu ni kisirani wa kutupa..ofcoz raised by a single parent na mimi nimekulia na wazazi wote wawili who loved each other so dearly na hata kama walishagombana sikuwahi kuwaona kwa macho yangu
kuwa raised na single parent is not an issue mkuu,, issue hapa huyu wa kwako hajui thamani yako na mtu yeyote asiyegundua thaman yako usimchukulie poa
 
Una hakika gani atarudishwa kwao akiwa kwenye jeneza??
Wewe mtazamo wako ni huo,
Mimi mtazamo wangu ni Mungu atambadilisha.

Sijaolewa bado na Mungu atanipa wa kufanana naye,siyo huyo unayemtaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda tutumie akili ya kawaida huku ukiomba Mungu akupe busara zaidi. Tukiweka sana imani tutajikuta mambo yanakuwa mabaya zaidi. Kuwa makini kalumbu.
 
Huyo ni dogo kichizi ungejua hata usingebishana nae hajui matatizo ya mjengoni 😅😅😅
 
point kubwa nimeshika hatujasikia upande wa pili

let me keep quite for now maana kusikiliza upande mmoja nayo ni tabu inayotukumba wengi.
Ninaweza kukutajia weakness zangu
1. Very forgiving sababu sipendi kukaa na kinyongo nakosa amani kabisa
2. I love looking good na sipendi kumuomba hela sababu anasemaga hana kwangu siku zote so nikipata i treat myself good
3. Ninaamini sana katika familia kwa jinsi nilivyokuzwa but i got some sense today..kwa vibao vya maneno wengine walivyonipa. Nimeshtuka
 
Missez miss u! Ka Anne hakajui mziki wa ndoa ambayo mtu anadundwa! Kwa hii story msela ndio mkorofi bila shaka
Miss you too

Daah nimesikitika sana

Yani kuna vitu ni very mind-disturbing
 
I damn thought of this, wanaume waliolelewa na single parents wanakuwaga bitter and careless sana! Huyo jamaa yako ni kijana wa kichagga bila shaka, prove me wrong!
mimi ni mchaga pia pls omba msamaha mkuu,,,hahahahhahahaha,,,,ila kuna element ya ukweli hapa

ila kuwa raised na single parent is not an issue here,,,issue yeye kama yeye ana akilii gani
 
kuwa raised na single parent is not an issue mkuu,, issue hapa huyu wa kwako hajui thamani yako na mtu yeyote asiyegundua thaman yako usimchukulie poa
Ni issue it affects a lot of guys esp kama mama alikuwa superior than mshua anatengeneza hali ya dependency! Mtoto wa kiume anakuwa hana akili zaidi ya kuegama kwa mama kwa critical decisions zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…