Am I wrong if I process divorce?

Kwanza upo sahihi kuomba Divorce.
Anzia Kanisan, unasema vikao vishafanyika, kama kuna kumbukumbu uitunze na uanzie hapo kwenda mbele.

Uvumilivu wako umepitiliza na kila jambo likizidi kiasi sio zuri.
Hata waliooleewa wana bikra hawana uvumilivu huo.

Yaan Sipati picha ya Mwanaume gan mlevi kijinga namna hiyo,Mpumbavu sana tena sana.

Au amelogwa? /Kufungwa .Nadhan ushajaribu njia mbali mbali kuondoa ulozi kama uko katikati.

Anyway, omba divorce Mdada.
 
Hahahahahahaaaaaaaaa
 
Hao hao wa wishlist unasogeza bana kuweka mayai kwenye kapu Moja ni hatari Bora uweke tofauti tofauti kwa usalama wako.
Pia I noticed when your in serious relationship ndo mitongozo inazidi ukiwa single haionekani kabisa
 
Binafsi naona hakufanya kwa ufikiri kuleta jambo hilo hapa kwa tabia za wakazi wa humu. Japo sijasoma coments Natumaini kabezwa sana na kufanywa Laughing stock
Hapana watu tunatoa ushauri bhana
 
Ngoja nimpigie mke wangu nimwambie samahani! Ukweli imeniuma Sana, maana kuna vitu umeandika nimevisoma nikiwa na akili timamu muda huu, nimegundua ninamkosea sana mke wangu pia. Siyo yote lkn maumivu yako mengine nimeyaona kwa mke wangu pia.

Mungu nisamehe, mke wangu nisamehe [emoji120]
 
Wanaume wasio na nguvu za kiume huwa Wana gubu, wanyanyasaji na wanapenda uhuni na michepuko hata kama hawasimamishi ili waonekane kuwa rijali.
 
Wanaume wasio na nguvu za kiume huwa Wana gubu, wanyanyasaji na wanapenda uhuni na michepuko hata kama hawasimamishi ili waonekane kuwa rijali.
Carina pls spare my ribs
 
Kuna vitu umevisema hapo juu, nimeanza kutafakari upya kuhusu hii storee[emoji848]
 
Hao hao wa wishlist unasogeza bana kuweka mayai kwenye kapu Moja ni hatari Bora uweke tofauti tofauti kwa usalama wako.
Pia I noticed when your in serious relationship ndo mitongozo inazidi ukiwa single haionekani kabisa
Heheheh ukiwa serious shetani achezi mbali ilimradi awavuruge tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…