Am I wrong if I process divorce?

Mbona ameshauriwa vizuri sana.
Kuna mtu anaweza bully a person sababu ya changamoto za ndoa?
Anyways, ila mi nimeona amepata very constructive opinions.
Watu waliozungumza nae wala sio watoto watoto.
Most of members waliocomment huu uzi ni watu wazima, wazoefu, wenye utu na kutizama issue yake wala not from attacking angle.
Bullying inatoka wapi?
 
Ushauri wako ni mzuri,ila umeotoa wakati ambao si sahihi,maana yake unakuwa ushauri mbaya kwa hali ilipo fikia. Hapaswi kuufanyia kazi sasa.

Ushauri wako anaweza kuufanyia akiwa ameshajitoa katika ndoa,yaani kuwaomnea kheri wanawake wenzake kwa mdau au awaombee wanawake wenzake waepushwe na huyo mdau.

Kuna muda kuendelea kubaki katika ndoa ni jambo baya zaidi kuliko kubaki kwenye ndoa husika. Ndoa ya huyu bibie ni mfano mahsusi kabisa,endapo anayo tuambia ni ya kweli.
 
Haha..! Utajutia kufungua huu uzi.

Ila pole sana, piga moyo konde na uusikilize moyo wako unataka nini na ufanye. Kila la kheri
 
He wewe unataka kumuangamiza mwenzako?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwani dada...sayari unayoishi inaitwaje? Na hiyo mbususu bado umemuhifadhia yeye au? 8 years πŸ™„πŸ™„πŸ™„. Kweli Kuna watu wataenda peponi nimeamini
 
Huwa hatari wanakuwa so manipulative aisee wanaku torture psychologically, hata uwe mwema vipi ni mwendo wa kukutesa kihisia to me I consider them evil Bora kila mtu ashike njia zake

Victim
 
Lakini kuna comments nyingi tu za kujenga, naamini hataondoka mtupu...kwa namna moja ama nyingine atabadilika, apunguze roho ya huruma
 
Sijui kwanini siaminigi story ambayo haija balance or ya upande mmoja. Umemaliza masters ukiwa na miaka 20? Tanzania au nchi gani? Wakati ulipokutana na mshaji mkawa wachumba izo tabia zote mshkaji hakuwa nazo ndo maana ukampenda. Nini unadhani kili mbadilisha jamaa? Hapo upande wa jamaa haujazungumza ili story ibalance

Wanaume sisi huwa tupo tofauti sana kuna mtu ukimkosea jambo kubwa anaweza badilika makusudi ili uondoke tu. Hujawai mkosea jamaa jambo ambalo hawez saau? Anyway najaribu tu kufikiria zaidi ya ulicho kiandika .pole sana lakini
 
Pole sana rafikiangu. Just listen your heart, then fanya kile kitakachokupa amani moyoni mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…