Am I wrong if I process divorce?

Kama Baba ndani ya nyumba hatoi sapoti kwa Huyo mtoto na kwa mama... Kuna tofauti gani kati yake na single mother anayejikamua kuhudumia mwanae....
 
Maamuzi ni yako wewe ndounajua nini unapitia na uvumilie kwa kiwango kipi maana tunatofautiana stamina za uvumilivu
 
Ila dunia ya siku hizi wanawake wavumilivu wameisha that's why na ndoa hazifungwi sana siku hizi, mke akipigwa kofi tu akaomba ushauri utasikia "achana na huyo mbwa atakuja akuue, hama ukalee wanao "
nilishaapa maishani nitavumilia mwanaume Hali ngumu ya maisha,,, ameugua muda mrefu,, amepata ulemavu,, sijui amefutwa kazi,,sijui hazai yani Yale ambayo najua yako nje ya uwezo wake Ni kadari ya Mwenyezi Mungu lakini sio wa kipigo na kunikosesha amani ya moyo kwa sababu zake binafsi hata nimpende vipi narudia hata nimpende vipi kipigo Cha Mara ya kwanza msamaha tutaombana police Mara ya pili talaka ataitolea hukohuko police,,baba yangu hajawahi kunizaba kofi,,Wala Kaka zangu Wala walimu shuleni halafu atokee fala mmoja anizabue makofi mpaka kulazwa aisee ninavouthamini huu mwili wallah Sina msamaha Wala mswalie mtume,, halafu wanaume wapigaji na wanyanyasaji asilimia kubwa wanakuaga na upungufu wa nguvu za kiume ndo inapelekea kutojiamini wanaishia kunyanyasa wake zao na kuwa na wanawake wengi wa nje ili kuonesha uwanaume wao kumbe wanaishia kujidhalilisha na kujishushia heshima zao kwenye jamii..
 
Hapo Kuna Upendo? Kuna Ndoa kweli? Hata mipango ya maendeleo iko very parallel. Haiwezi kukutana. Hawawezi kukutana somewhere. Ndoa maana yake ni hii kweli? Unavumilia kwa kipi hasa kwa scenario Kama hii...
 
Hapo Kuna Upendo? Kuna Ndoa kweli? Hata mipango ya maendeleo iko very parallel. Haiwezi kukutana. Hawawezi kukutana somewhere. Ndoa maana yake ni hii kweli? Unavumilia kwa kipi hasa kwa scenario Kama hii...
Unavumilia kulazwa hospitalini kwa kipigo cha mume kila baada ya miezi kadhaa. Hadi siku ambayo you will be beaten to death.
Ili uvikwe taji la "mke mwema" na misogynistic Tanzanians ukiwa kaburini.
What a shame..!!
 
Wanawake tuliozaliwa kwenye hizi jamii zenye mtizamo hasi kwa jinsia ya kike tuna tabu kweli, ila yakikufika shingoni unakuwa jasiri, jamii itakunyooshea vidole lakini km ukiwa na haki Mungu hakuachi, manung'uniko yanapunguza baraka katika maisha,
 
Unavumilia kulazwa hospitalini kwa kipigo cha mume kila baada ya miezi kadhaa. Hadi siku ambayo you will be beaten to death.
Ili uvikwe taji la "mke mwema" na misogynistic Tanzanians ukiwa kaburini.
What a shame..!!
Naona huruma sana. Kuna wanawake wanateseka sana sana huko ndani ya Dude linaloitwa NDOA.
 
Miye kiukweli sintakushauri vzr ndoa gani hiyo bora ivunjike tuu.
 
Ngoja apigwe binti yake na BF au aliye kwenye ndoa utaona atakavyowaka moto mwili mzima. Watu wengine ni wa ajabu sana.

 
Nianze kwa kukupa pole, anyways, hii stori imenigusa sana sababu aina ya mwanamke ulivyojielezea inafanana moja kwa moja na mwanamke ambae nipo nae kwenye relationship. Let me be honest wanawake wa style yako ni ngumu kudeal nao sometimes ila jamaa usenge anaofanya kazidisha.. Umesema he is a social drinker ? nope this dude is chronic drinker an alcoholic, this homie is a barfly. Umeanza na kumtetea eti a social drinker, why ?, mbele tena unasema anarud asubuhi. Anyways, huyu jamaa alikuwaje wakati mnaanza relationship ?... If he was a good person kwanini kachange ? , haya mambo mshawah kuyaongea ?..Why does he beat you big boody ?.

All in all huyu jamaa ni immature na ana inferiority complex kwenye mapenz. Yan yeye atakuwa anatamba huko nje kwamba pamoja na uzuri wako na elimu he can still contain you pamoja na umalaya wake na ulevi wake, kwakifupi jamaako mshamba sana na sijui hawa ndezi mnawatoaga wapi maskini..Ushauri wangu unavyosoma hii post yangu pack your bags and run for your life jamaa atakuua.. wewe sio mkristo wa kwanza kuachika....Ukisha kimbia tuanzie hapo sasa kushauriana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…