Am I wrong if I process divorce?

Nyie dada zetu nyie, imagine hapo ukute kaka, baba, mama, mjomba, shangazi, mama wadogo/wakubwa, marafiki wote wameshashauri aondoke lakini ye bado haamini.

Ni mshika dini sawa, hajui kuwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU?
Ndo hivyo sijui huwa inakuaje, mtuonee huruma kwa kweli
 
Kweli kukaa miaka 8 sio kawaida. Ila ushauri wangu hapa umezingatia sana umri wa muhusika.
Msumeno wenu inabidi ukate kote, Huyo mzee anaetoka na vitoto hujamuona kwenye hiyo heshima yako? miaka 8 mume hamgusi means kamfanya ajione takataka kuwa kazeeka, na hamvutii Tena hujajiuliza hata kisaikolojia kaathirika vipi?? Mtu anakususa miaka 8 kawa mzoga? Acha akapate Raha kiakili itamsaidia kuliko kuvumilia hiyo jehanam eti apate heshima, mi kwakweli sitafuti utakatifu duniani mwanaume akinifanyia hivi pasipo sababu za msingi hakutalalika
 
Heaven niliyokuwa nikiandika ndo hii niliyomo kwa Sasa, nimeipata amani na furaha ya kweli eeh Mungu asante πŸ™πŸ™

Uoga ndo unatuua wanawake, unawaza nikitoka itakuwaje watoto wataishije! Jamii itanichukuliaje, mwishowe unauliwa na hakuna unachokuwa umesaidia hata hao watoto,
 
Umeona eee kipi bora kula raha kwa siri au kuvunja ndoa?
Tuzo yako nitakukabidhi mwenyewe km Kweli una miaka hata 5 tu hujaguswa,mie siwezi jamani na hasa kama nikihakikisha mume nje anaenjoy km huyo wako yeleuwiiii siwezi kabisa
 
kofi moja tu acha hizo mkuu, kanda maalumu
 
i can relate by experience ni kweli ulichoandika
 
Hakika!
 
Ni maombi ili aelewe wenzake wanapitia nini. Ujue kuna watu humu duniani huwa hawaamini Kama Kuna matatizo hadi wayapate. Wakishakuwa na maisha mazuri kila kitu kinaenda sawa wanaona matatizo wameumbiwa wengine wao hayawahusu.
Hujui niliyopitia,hujui familia niliyoishi ilikuwa na ndoa ya namna gani,hujui ninayopitia.
Hayo maombi Endelea nayo ila ni vema ukakaa kimya,usinizungumzie kwa vitu usivyovijua kwangu.

Mtu anaweza kutoa ushauri humu na unaanza kuassume tu kwamba haijui shida ama hawajahi pitia shida.

Jikite tu kwenye mada kuliko kunizungumzia mimi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
Amekufunga kiasi cha kushindwa kutombw@ huko unapopajua? Au ni maamuzi yako tu kwamba hutaki mboRlo ya nje?
 
Kinachokufanya ustarve sexually ni nini? Unaogopa kutenda dhambi?
Yaani mimi upite mwaka sijafanywa tena bila sababu ya kueleweka...kiruuuu.
Mwezi tu nachizika
Qmmmmmk walah!....nimechekaaaa!

Eti kiruuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…