Am in love . . .

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,991
Reaction score
24,211
ila sijajua na nani
ila nasikia so much love inside
hasa nikipita maeneo fulani hivi

hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol

ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?
 
Ni mimi Kongosho...
Love you so much
Achana na Bishanga eeh
Mwaaah
 
ila nasikia so much love inside
hasa nikipita maeneo fulani hivi



Mhhhhh! Congratulations!!!....Kupenda na kupendwa raha sana 🙂🙂...lakini yawe mapenzi ya kweli si ya kisanii.

 
Last edited by a moderator:
BAK mbona kuna mahali umebold wakati mi nimewahi kuweka fensi?
Sitaki ugomvi...
 
Last edited by a moderator:
BAK, asante.
i wish it was me, ila hata mie kaniamabukiza raha tu.
 
Last edited by a moderator:
hapo ndo kwenye 'brain' ya upendo wa wakubwa, au unaonaje?

BAK mbona kuna mahali umebold wakati mi nimewahi kuweka fensi?
Sitaki ugomvi...
 
Last edited by a moderator:
Yes, u may love another while you are married. Kwanza mi naona I might fall victiom to loving another yet am married. Kongosho love is a psychological need. Mapenzi kwenye ndoa yakipungua, kero zikizidi, the heart goes wandering and depending on how things turn out voila! You find yourself in love again.
Ur post made me happy. Sijui kwann.
 
usintie nuksi, nimpendaye ndo yuko busy analogin sasa.

Ila hajui kama hii ID yangu lol

hawa wazee nimewapeleka kambi ya Morogoro wakapumzike.

Sio Bishanga tu hata BAK noma...mi ndio mwenyewe au umezisahau swaga zangu nilizokupa kwa Asprin ?
be mine Kongosho nataka kulelewa achana na wazee
 
Last edited by a moderator:
asikutishe huyu Ricky, nani anataka watoto hawa akina Marioo?

Wakubwa wenzangu mpango mzima.

Hehehe usiwe na wasiwasi Mkuu we jidai tu 🙂🙂....Na kwa taarifa yako BAK si mzee 🙂

 
asante Karucee, mie mwenyewe najisia mwepesiiiiiii.

 
Last edited by a moderator:
Mweeh! Best angalia asije aka-fall kwako! Hapa umejifunga mabomu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…