asikutishe huyu Ricky, nani anataka watoto hawa akina Marioo?
Wakubwa wenzangu mpango mzima.
kisukari najua unachoasema .... pia mimi natoa pongezi!!congratulation.i know how it feels,imeshawahi kunitokea.ni raha fulani ambayo haisemeki
Mweeh! Best angalia asije aka-fall kwako! Hapa umejifunga mabomu
Acha hizo,we mbona umeolewa halafu na aspirin mnanililiyu?ila sijajua na nani
ila nasikia so much love inside
hasa nikipita maeneo fulani hivi
hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol
ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?
Utamuweza kongosho wewe? Kama hajakutegua kikojoleo,mashine kubwa hiyo na kapitia unyago huyo,kama unabisha muulize zinduna.Ni mimi Kongosho...
Love you so much
Achana na Bishanga eeh
Mwaaah
BT bana, am in love
hicho ndio nachojua, haya mengine ni details.
BT bana, am in love
hicho ndio nachojua, haya mengine ni details.
ila sijajua na nani
ila nasikia so much love inside
hasa nikipita maeneo fulani hivi
hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol
ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?
haya bana....
Acha nisubirie tamko....
Nahisi midume ya jf imetega masikio na midole kwenye keypads....
Wanatamani watajwe wao....
Sikutegi bana Kongosho 🙂🙂 ila naingoja asubuhi kwa hamu kubwa sana ili nilione tamko la huyo mwenye bahati ya mtende 🙂🙂 uliyeamua kumtunukia.