Am in love . . .

he he he, BAK niko narudia rudia kuspell jina lake nisije nikakosea kuliandika muda ukifika.

Mbu, asante kwa maelezo, ila hata kwenye mapenzi, moja yashinda sifuri.

Mhhhh! Kongosho inaelekea jina lake spelling zake zimekaa kiaina aina 🙂🙂 haya we jitahidi kuzirudia rudia maana umma wa JF 🙂🙂 unasubiri kwa hamu tamko la Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
Jina lenyewe lina kati ya herufi 3 hadi saba
lakini kuliandika nakosea lol

🙂 🙂 🙂 gosh, nimeshindwa hata kulala maana kuwa macho ni raha kuliko kuwa usingizini lol

Hahahahahah lol! basi ni bora ukeshe uendelee na raha zako
 
wamesha sema ni mwanamke, lazma itakua mimi. 🙂
 
Hehehe usiwe na wasiwasi Mkuu we jidai tu 🙂🙂....Na kwa taarifa yako BAK si mzee 🙂

Nilikuwa nakuharibia nikupatie Kongosho kumbe Kongosho mwenyewe kimeo
Ngoja niende zangu kwa akina dogodogo
Huyu anawafaa akina Asprin
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana but mara nyingi hua inasababishwa na ukosefu wa vitu muhimu kwenye ndoa uliyopo! Kama kwenye ndoa hakuna mapenzi,hakuna kujaliwa wala kuheshimiwa ni rahisi sana kutekwa nje ya ndoa..
 
ha ha ha ha, bepari labda wewe lol

naona tu, miwivu imekujaa hadi makuchani.

Wee si ulikimbizwa Mchele Ltd.
Bado uko IN love au tayari uko OUT of love? Maana huelekewagi wewe. Jana baada ya kupiga mavaluu ukaanza kuweweseka oh i am love,u fall in love wewe umekuwa cleopatra?
 
Bamweleze kongosho,yaani yeye kupokea tu PM ya bishanga tayari aka declare i am in love na bishanga,angejua kuwa bishanga naye is in love arusha wala asingefungua uzi huu,acha tu nimshushue.
 
Aspirin kamtema long time anasema konnie amezidi kusoma gazeti.
Hahahaa anasoma wakati wa perrmance au muda gani?
Km hvyo Kongosho noma au ndo uzee umemzidi?
Inawezekana na Asprin nae kwishney
 
Last edited by a moderator:
You know what I mean, (blushing, blushing)

am so taken Mwali, so taken.

Usijali na wewe ntakuonjesha kwa kumwita patina wetu.

You are breaking my heart... :A S 12:
Patina wako kafanya nini aisee?
 
Hahahaa anasoma wakati wa perrmance au muda gani?
Km hvyo Kongosho noma au ndo uzee umemzidi?
Inawezekana na Asprin nae kwishney
Mkuu,kale ka style hukajui,kale ka 'ukimaliza funika kisha weka hela ya maziwa juu ya mesa'? Ndo zake konnie ndo mana kapigwa chini.
 
Last edited by a moderator:
Hayo ya ndoa ni vionjo tu
kiukweli jana sikulala baada ya kunialika lunch.

Hayuko perfect, but so lovely.
I can see thru imperfection zake.
Inawezekana but mara nyingi hua inasababishwa na ukosefu wa vitu muhimu kwenye ndoa uliyopo! Kama kwenye ndoa hakuna mapenzi,hakuna kujaliwa wala kuheshimiwa ni rahisi sana kutekwa nje ya ndoa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…