Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Joined
Oct 3, 2017
Posts
65
Reaction score
121
Hello friends,

My name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old.

I am from Bukoba, though now am living in Dar es Salaam Oyster bay.

Thanks.

--------------
Karibu sana JF mkuu Anna Maria Buberwa,

Asante kwa kujiunga nasi. Bila shaka umezisoma na kuzikubali sheria na kanuni zinazotuongoza humu. Kama bado, zipitie hapa tafadhali > JamiiForums Rules

Ili kutumia huduma zetu, mwanachama anayejisajili ana nafasi ya kuchagua aina mbili za ushiriki;

1. Anonymity (kutumia jina lisilo halisi kwa ajili ya kulinda faragha)
2. Verification (kutumia jina halisi/utambulisho rasmi).

Kwa kuwa umejisajili kwa jina unalodai ni lako halisi, huna budi kuthibitisha ID yako.

Ili kuthibitishwa: Tunaomba ututumie copy ya kitambulisho au nyaraka yoyote inayotambulika kisheria (Passport, Leseni, Kitambulisho cha Taifa au cha Mpigakura n.k.) kwenda support@jamiiforums.com

NB: Tutakuwekea alama ya kuonyesha uthibitisho itakayosomoka 'verified user' kwenye username yako.

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom