Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Haha
 
Nakuomba uzingatie ushauri ulioupata humu.

Tangu nijiunge humu sijawahi kuona uzi wa utambulisho ambao umenifanya nisimamishe kazi zangu kwa muda na kuanza kuupitia line to line kama huu
Huu kwangu ndio uzi wa kwanza wa utambulisho. Tena nimeitwa, si bure!
 
Karibu dada.Ila kuwa makini ukihama Osteybay utuambie.Maana unaweza hama kimya kimya ,siku unaleta story za tandale au mbagala ukawapandisha watu hasira bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…