Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Endeleeni kuingizwa kwenye mikono ya watu wasiojulikana, Njia hii naona itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kunyofoa watu humu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Babu umenikumbusha mbali, hii tabia niliwahi kuifanya

Enzi hizo nachunga ng'ombe kwenye sehemu ambayo ya wazi halafu kuna mti mmoja hadi miwili, option ya kumaliza haja ilikuwa ni kupanda kwenye mti na kujificha kwenye matawi na kukata gogo taratibu kabisa huku likiangukia chini kivulini
 
Huyu wote wanaomfolo ni wale walijounga Aug, 2017 akiwemo yule wa ID aliyedai anatokea Rwanda.

Mmmmh

Halafu jina alilotumia niliwahi kuwa na dada rafiki alikuwa na rafiki jina hilo hilo sema la kati sijui lilikuwa lipi... na aliishi Oysterbay pia na kwao ni bado Oysterbay nafikiri.. ila yeye alishaolewa na nafikiri yupo age ya mid 40s..

Mtajiju na hawa

 
 
Where in Oysterbay?

Msasani Rd, Kaunda Rd, Kenyatta Dr, Laibon St, Winding Ave, Karume Rd, Tumbawe Rd, Chaza Lane, Haile Selassie Rd, Bongoyo Rd, Mkwawa Rd, Uluguru Rd, Uganda Avenue, Guinea Avenue, Ally Bin Said Rd, Hill Rd (Yasser Arafat Rd)?

Damn, I still remember the streets off the top of my head!
 
Chole Rd
 
You know, I thought about Chole Rd, but that is more Masaki, or are you referring to the Coco Beach side?

I am pretty proud of myself, I covered all the major streets of Obay.

There are some lanes and closes that still escape me though.
 
You know, I thought about Chole Rd, but that is more Masaki, or are you referring to the Coco Beach side?

I am pretty proud of myself,i covered all the major streets of Obay.

There are some lanes and closes that still escape me though.
Yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…