Anna Maria Buberwa
Member
- Oct 3, 2017
- 65
- 121
- Thread starter
-
- #161
Fb watumia jina ganWe Anna marie wewe, unaona thread inavyoenda kasi? Bora tukutane fb huku hakufai
Omukasi wangeeWakola ningemba abantu batwekile emeseji kama 30
Ahsante kwa kumtahadharishausiweke picha tena watakusumbua hawa mabazazi ...
msinichambe jamani namkunga mdogo wangu kabla hamjamvuruga
Welcome madame...Hallo friends my name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old,
Am from bukoba, though now am living in Dar es salaam Oysterbay,
Fb account is Anna Marie Buberwa,
Thanks
Namba ya simu hahahaha
Umeshachelewa watu watakuwa wameisaveOwk kwahiyo niitoe?
Mi siyo Ana tibaijuka ni mtoto wa BuberwaUnavozidi kupanua ndio watu wanavozidi kutamani au sio? Anna Tibaijuka, welcome Anna Marie!
ha haha leo umenioteaHahaaaa... Na mimi leo nmekupasha aisee.. Hadi raha...
asante mkuu kwa kunielewaUmeshachelewa! Hadi sasa hivi waungwana watakua wameshafanya vitu vyao.
Hata hivyo nakupongeza sana kwa hekima na upendo wa dhati kwa huyu mgeni. Anachotakiwa kufanya ni kutofautisha FB na JF.
facebook hamna kitu, ni mtu asiyejulikanaUnajua hili wimbi la watu wazima kupotea potea na kuzama baharini limesababisha watu hatuaminiani kabisa. Nitakucheki Face book
Sijatojea uko katerelo gulion, nimetokea bukoba katoma kagege,ooohhh umetoka Katerero? Saafi kabisa kabisa