Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
kudadadadaddadeki, siamini.
I will rise, kama alivyosema Gabriella kwenye wimbo wake.
Wanaonicheka, kunibaza na kunipuuza sina muda nanyi, napiga moyo konde na kuangalia mbele.
Life is full of hills and valleys.
LOL...Utanisamehe nimecheka.. Niwazi uko kujipa moyo na unajutia... Hope Gab' atakupa company mpaka utapo rise again...
No you are not...,,unless vyote ni matokeo ya uzembe wako.Hata hivyo pole sana....mitihani ya maisha hiyo utaishinda kwa jitihada binafsi na kwa kumshirikisha Mungu kwenye mambo yako!
Mi ntajuaje???Uzembe upi?
unacheka huzuni na majonzi ya wenzako, haya weeee
Mkuu mambo ya kawaida sana hayo nina rafiki yangu aliachwa x 17 na kufukuzwa kazi x 23 lkn sasa anaishi kifisadi kinoma na bado hajavuliwa magamba.
Fanya fasta ndg yangu watu wanaishi kimjinimjini.uwoga wako ndio umaskini wako. Kata mti panda mtikama mambo ni hivi ngoja nimuombe bujibuji namba yake ya simu ili anikumbuke kwenye ufalme wake ujao.
kudadadadaddadeki, siamini.
I will rise, kama alivyosema Gabriella kwenye wimbo wake.
Wanaonicheka, kunibaza na kunipuuza sina muda nanyi, napiga moyo konde na kuangalia mbele.
Life is full of hills and valleys.