Am looking for a job as a gender specialist or any related field

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Habari zenu wakuu mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 26 nimehitimu shahada ya kwanza ya jinsia na maendeleo katika chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere mwaka 2011, ninatafuta kazi tajwa hapo juu kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia japo kimawazo i will be very greatful thanx
 
Ni inbox kuna pahala ntakuelekeza utume maombi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…