Am looking for a tall handsome man to.....

Handsome kwa tafsiri ipi? Maana mtu aweza kuwa handsome kwa fafsiri ya kiafrika lakini kwa tafsiri ya wazungu asiwe handsome. Uzi wako umeuandika kwa kimombo , binafsi inanitatiza.
 
wanawake hampendani,kila mtu anaishi apendavyo yeye kaamua kuwa Muwazi wewe mbona umekuwa mbogo
Nampa huyu dada ushauri kwa maslahi yake mwenyewe kwasababu naona haoni mbali anayafikiria ya sasa tu kwa kuwa ana shida ya mtoto!
 
Wala si tamaa au nyege ni maamuzi yangu mwenyewe. Kwa miaka yangu 24 tena bado sijaitimiza bado sijachelewa kuolewa.
The fact is I dont need marriage in my life I just need a baby to love.


Sawa, I got you but don't be going to social sites looking for a dude. Just go to the hospital, they'll help you accordingly.
 
Haya ushapata attention anza kuposti mapwointi sasa.
 
ymuuhuuuu.....!!!!.. hammy J njoo uone. nlichokua natafuta nimepata. miss username naomba ufunge hii thread coz ushanipata. nilikua natafuta mtu kama wewe. lakini tukizaa usiniambie tuoane. mtoto tutasaidiana kulea hadi dakika ya mwisho ya maisha. usiumize kichwa just niandikie; figganigga@jamiiforums.com. asante sana jf ebana dah!. mia
Cc; mathematics nitonye. mia
 
Last edited by a moderator:
Hivi jamani wachina hawajatoa dawa ya wanaume nao wawe mahandsome na kurefuka?
Za kukuza uume na butt waneweza so nadhani Inawezekana na mengine pia
 
peeps come now she is jus bein real..tatizo wanaume mnapenda sana wanawake wanao'fake life wanaojifanya wanaenda kanisani kila jumapili.wanaojifanya mabikira, pombe hawanywi na club hawaendi..na mtaishia sana kuumia kwa style hizi za wishful thinking
 

Si unataka wa kumegana nae tu bila obligations zingine?
Basi poa, mi nipo. Ingawa nakusaidia tu but sintotaka malipo yoyote from you.

Pia na wewe uwe mzuri basi, usije ukautumia u-handsome wangu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…