Am Obsessed With Your Love

Tangu mapenzi yanizingue nishakuwa muimba kwaya tu kanisani[emoji23] bora niende ata mbinguni kuliko vitu za ujinga hizi.

Aaahahahahahaaa looh jamaniii

Usiidhulumu nafsi hivyo. Ila kaa kwa stepu hapo kwenye kwaya.

Maana waimba kwaya wanamatukio mazito kuliko haya mahaba ya mtaani 😜.
 
Aahahahahahhahahaaa

Basi naacha shemeji, ila Mahaba yakinikaba najikuta tuu lugha inakuwa ya kimalkia...

Mahaba mahabaaaa 😍
Sio poa... Pengine unapanga mambo mbaya na mchepuko wa huku jf unajaribu kuficha kwenye lugha 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…