Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Acha kuvamia uzi uliza kwanza Mimi natoka masomoni wingereza juzi niliwajulisha watu humu we si Hukua na bando na bando zako za kuunga ungaJamiiForums Cookie tunaomba uitoe hii thread hili jukwaa na upeleke chitchat
unazingua kweli na ''Wingereza'' yako..Acha kuvamia uzi uliza kwanza Mimi natoka masomoni wingereza juzi niliwajulisha watu humu we si Hukua na bando na bando zako za kuunga unga
Acha wivu mkuu! kwani mods hawajui kazi yakeJamiiForums Cookie tunaomba uitoe hii thread hili jukwaa na upeleke chitchat
Picha mkuu!
First class
Busness class
Or
Mshamba UyoAcha wivu mkuu! kwani mods hawajui kazi yake
Kwa nini mkuuunazingua kweli na ''Wingereza'' yako..
How can I explain the large happiness in my heart to see Tanzania in this Christmas season. It's so better. Nipokeeni Wakuu.
Pamoja Sana mkuuNimependa sana Kiingereza chako Mkuu ulichoandika " Am on the air from England to Tanzania ". Una muda gani umeishi huko Uingereza kwa wenye Kiingereza chao? Nakipenda mno Kiswahili changu sijui kwanini. Karibu Mkuu nchini Tanzania na utatukuta tu tumejaa tele na Kiswahili chetu!
Pamoja Sana mkuu
Poa poa!Na Mimi Am on the road from Kwimba to Kyela Mkuu hivyo pray for me too.
HahahaAm on the mtumbwi from Kamtimakalyongo to kamzindekulumba