herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
Mimi ni mmfanyabiashara ambaye hutengeza viatu vya kimasai hapa Tanzania na kuuza nje, kwa sasa nitafuta materia za aina kidogo tofauti ya ruber soles ambazo huwekwa chini ya sandals hizo kama sole. Kama wewe utakuwa muingizaji wa hizi sole hapa Tanzania tafadhari nitumie msg inbox,tuweze kupena mawasiliano,ikiwezekana kufanya biashara pamoja.
Asante
Asante