tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Hiki kichwa nakikubali sana.
Tatizo huyu jama hana ngekewa ya kukubalika.
tuwekeeni link wadau nasi tujinome
utamu wa ngoma yenyewe uko kwa majani, yani kiitikio
umeonaaaaaaaaaaaa cjui mchawi wake nani loh!Hiki kichwa nakikubali sana.
Tatizo huyu jama hana ngekewa ya kukubalika.
Jmo ni noma, namkubali tangu Mirambo secondary wakijiita Chriss Cross