Am so frustrated and in the big dilemma! I need ur help plzz!

kumbe mwanamke? nilipo ona sabry nilizani boy? pole jitahidi usiwakubali hata mmoja,,

Yaani mkuu unategemea hapa bongo boy atongozwe na wanawake watatu alete mada hapa? Si kuwalamba mara moja tu.maana akileta mada hapa watu watamzunguka mara moja na kuwapa haki yao.

Asanteni kwa ushauri wenu bandugu! Ingawa wanajiletaleta, nimepanga niwagonganishe wote mahali niwape ukweli wao, waniache nipumue mtoto wa mwenzao! Kha!

Asanteni kwa ushauri wenu bandugu! Ingawa wanajiletaleta, nimepanga niwagonganishe wote mahali niwape ukweli wao, waniache nipumue mtoto wa mwenzao! Kha!

Naona kama wazo lako sio zuri, kama hawapo moyoni mwako ya nini ujisumbue? achana nao tu, na ushikilie msimamo wako tu maana wanaweza kukugeuka wakasema kuwa wewe ndiye ulikuwa unawataka.

hapa wewe chagua mmojawao ambaye unaona roho yako inaona angalau anafaa, kumbuka kila jambo baya la kimapenzi huwa wakati mwingine linaishia na mambo mazuri, hususani linaishia katika ndoa....!

Hawawezi kuandika ripoti mbaya kama watakuona una msimamo, ila ole wako umkubalie mmojawapo, ndio utakiona cha mtema kuni, jiamini utaaminiwa, jithmini utathaminiwa

Cheza double sentahafu hakatizi mtu...

pole sana,waeleze ukweli kila mmoja kwa wakati wake,usiwape nafasi ya kukaa na wewe faragha,tanguliza neno KAKA kabla ya jina lake mfano KAKA Mosha,usikubali ofa yoyote hata soda kutoka kwa yeyote.Akikuandikia sms mbaya muonye kwamba ni hatari coz mpenzi wako anaweza akaiona.Usikubali mtu akushikeshike hata kama ni mikono yako,usiwape tabasamu mara kwa mara nk..

Kwa mujibu wa maelezo yako infuence ya hao watu ndo inakuchanganya,fikiria kipi bora hisia zako au riport yako baada ya kumaliza hiyo field!

Pole sana,ninacho weza kukushauri ni kwamba,jaribu kuwaelewesha labda wataweza kuku elewa.pole sana siz.

wana kiu na hicho kipochi manyoya chako, wakunjunji kisha wakuache

Hapo ndo utajua kama mwanamke anaongozwa na hisia au msimamo aliyojiwekea.

Confidence umeisoma, sasa ni 'practical' unatakiwa ujiamini na umwamini Mungu kuliko wanadamu. Ukiwa mtoto Wa kike huo ndio mwanzo na una safari ndefu ya kukumbana na rabsha hizo za wanaume hasa sehemu za kazi.Jiamini, silaha yako ni lugha na Mungu. Heshima yako itajengwa na lugha utakayotumia kupiga Chini hao jamaa. Kumbuka Jiamini, wengi watakuja sio Leo tu na pia field bali ni kesho na mwakani.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…