Boss mbona umekamia sana kwenye uzuri,kiukweli niko kiwango huwa naambiwa na me/ke,sasa unanishaurije Boss wangu?
Boss sijisifu lkn ukweli niko descent na nina hofu ya Mungu,sidanganyiki kirahisi lkn ajabu ndiyo hiyo!nifanye nini?
asante sana lkn mbona ni muda sifuatwi?
Tuko nahisi kama ninakuelewa lkn kuna vitu namiss,ulichokisema ni kweli maana mapenzi hayaangalii sana uzuri wa nje,elimu,pesa n.k lakini sasa unadhani ni miba ipi hiyo inaniwekea vikwazo Tuko?hata vya kukosa men' approach!
wasichana wa siku hizi
unatembea huku una headphone masikioni utatongozwa vipi sassa????/
au unaongozana na wenzio lundo huku wengine wamekuzidi uzuri
au unaongozana na kaka yako,au shemeji yako wa kiume mnategemea nini?????
hapo nyuma kidogo nilipitia hali kama yako nikaamua kuwa natoka kila wkend natafuta mahali tulivu naagza kinywaji laini huku nasoma inspirational books nikajikuta upweke unaniondoka nikaanza kujifil comfortable being alone na kujiamin kukaongezeka baada ya muda mfupi nilifanikiwa kumit msichana mmoja 2kawa marafiki kwa sasa ni mpnz wangu na 2namiaka zaid ya miwili..so wory nt try 2make ur self happy mengne yatafuata
Kibaki, niliposoma tu sentensi yako ya kwanza, niligundua tatizo lako. Baada tu ya kueleza tatizo la uwpeke, uemeanza na sentensi... "Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu...
Hapo ndipo penye tatizo dada yangu, na usipojitahidi sana kubadili mawazo yako utaishia kama wadada wengi wazuri ninaowafahamu, wameishia kuwa nyumba ndogo za watu na/au viruka njia...
Change pliz...
Lengo sio kwenda huko kukutana na watu, lengo ni kustarehe ukiwa peke yako. ndio nilikua nasema hapo nyuma: unapenda kufanya nini? basi fanya hicho kutu mara kwa mara. inaweza kua kwenda beach, shoping, kusoma magazeti, vitabu, kupanda maua na kuyafanyia usafi, etc.asante sana,umenipa wazo ambalo niliwahi kuambiwa pia wazo la kutoka out sasa tatizo huwa naona vibaya kwenda mwenyewe nisije kuonekana najiuza,hongera kwa kuvuka kipindi kigumu
Lengo sio kwenda huko kukutana na watu, lengo ni kustarehe ukiwa peke yako. ndio nilikua nasema hapo nyuma: unapenda kufanya nini? basi fanya hicho kutu mara kwa mara. inaweza kua kwenda beach, shoping, kusoma magazeti, vitabu, kupanda maua na kuyafanyia usafi, etc.
RR asante kwa wema wako,,napenda vitu vingi outing ikiwa moja wapo,tatizo liko hivi,natakiwa nisahau kwa muda gani na umri nao unasogea?utata ninaoupata mbona huwa sitongozwi ni nini!
asante sana,umenipa wazo ambalo niliwahi kuambiwa pia wazo la kutoka out sasa tatizo huwa naona vibaya kwenda mwenyewe nisije kuonekana najiuza,hongera kwa kuvuka kipindi kigumu
simaanishi ujichanganye na wa2 bt tafuta sehem ambayo utaweza kuenjoy ukiwa peke yako fanya vi2 unapenda nakuhakikishia utajikuta unapenda the way yoa
Boss unanichekesha asante,sasa akijibu ndiyo nitamwambiaje?ni ngumu nayo!
Pole sana! wapo watu wenye mapenzi ya ajabu, hukutafuta wakati wa kutaka kukupeleka kitandani tu, baada ya hapo hakukumbuki mpaka shida ije tena. Ila ka wewe ni Me mie nipo niko lonely pia na huwa napenda mapenzi kama yako ya kujali. Waweza nipm.
akijibu ndiyo mwambie akuelekeze process za kuomba kuvuta maji
na gharama na mwisho mwambie itakuwa vizuri akupe namba yake ya simu
utawasiliana nae ukiwa tayari kuvuta maji...lol
Hutongozwi sababu uko negative. Hata bila kuongea watu wanajua kama una furaha au una matatizo. they can "feel" it. kwa hiyo narudi tena, jaribu kua as positive as possible. Pia hakuna muda wa kupenda/kupendwa, everytime is the perfect time. Kama wewe una uwezo wa kupenda, kuna watu wengi wa miaka yako wana uwezo wa kukupenda pia. Usifanye haraka na usiwa na presha kabisa.RR asante kwa wema wako,,napenda vitu vingi outing ikiwa moja wapo,tatizo liko hivi,natakiwa nisahau kwa muda gani na umri nao unasogea?utata ninaoupata mbona huwa sitongozwi ni nini!