Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.
we si mwanamke? na yeye ni mwanamke pia? au ndio mambo ya .... ?Pole sana! wapo watu wenye mapenzi ya ajabu, hukutafuta wakati wa kutaka kukupeleka kitandani tu, baada ya hapo hakukumbuki mpaka shida ije tena. Ila ka wewe ni Me mie nipo niko lonely pia na huwa napenda mapenzi kama yako ya kujali. Waweza nipm.
Pole sana! wapo watu wenye mapenzi ya ajabu, hukutafuta wakati wa kutaka kukupeleka kitandani tu, baada ya hapo hakukumbuki mpaka shida ije tena. Ila ka wewe ni Me mie nipo niko lonely pia na huwa napenda mapenzi kama yako ya kujali. Waweza nipm.
mh! Kwa hiyo umenipa teknik ya kutongoza Boss?kweli binafsi naona ni ngumu sana embu njoo tena
we si mwanamke? na yeye ni mwanamke pia? au ndio mambo ya .... ?
Mapenzi ni hatari, hata ungekuwa mtalaam wa kuruka vihunzi lazima upite kwenye tanuru ili uive. Hiyo ni changa moto yako my dear. Kaa tulia wa kukuoa atakuja hawa wengine watakuvua nguo na kukuacha unalalama una mikosi. Siamini kama kuna mkosi!
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.
OOOh, nimekuelewa. Sio kwamba naona sio sawa wanawake kua pamoja ila nilitaka kushangaa wawe wamefika uhuru wa kiasi cha kutongozana live JF. Kwa kweli TZ hatujawa tayari kupokea uhusiano wa namna hii.Nahisi Remmy alihisi ya kuwa kibali ni mwanaume na ndo mana akatoa lake la moyoni sio ushoga
OOOh, nimekuelewa. Sio kwamba naona sio sawa wanawake kua pamoja ila nilitaka kushangaa wawe wamefika uhuru wa kiasi cha kutongozana live JF. Kwa kweli TZ hatujawa tayari kupokea uhusiano wa namna hii.
Ila I hope atasoma ushauri tunampa mwenzie nae afatilie.
Labda nikuulize ndugu yangu: una miaka ngapi hivi? kama haupo comfortable sema tu kati ya .... na ..... ili nione kama kweli umri wako unaweza kua ndio shida alafu nikupe ushauri muafakaasante caroline,kutulia nimetulia ila mawazo hayakosi kuniandama na upweke sana!rafiki zangu wote wana watu wao na familia,najiuliza kwanini mimi?!mbaya zaidi nina muda sijatongozwa!
asante mpendwa nimekuelewa,sasa je kwanini sitongozwi kabisa?!wanaume wanapenda nini ambacho labda mimi nakikosa?inanichanganya sana!
asante caroline,kutulia nimetulia ila mawazo hayakosi kuniandama na upweke sana!rafiki zangu wote wana watu wao na familia,najiuliza kwanini mimi?!mbaya zaidi nina muda sijatongozwa!
hapo ndipo patakapokuharibia na usifurahie mahusiano hata mara moja,jiulize kwanini watu wanaamua kumpenda mtu kipofu,kiwete n.k kwahiyo huo uzuri ambao unadhani utapendwa kwa ajili yake sio kweli kwani wengi watakutamani watakuvua nguo na kukuacha kwa kuendelea kujiamini eti we mzuri na muda unazidi kwenda na utakapofikisha miaka 30+ kama bado utaanza kuwatongoza na kumbe uli*******ni wako ulikufanya ujione ni mzuri huenda ndo maana huyo jamaa amekuchukulia poa,huo uzuri huwa haudumu ila moyo na tabia nzuri,Boss mbona umekamia sana kwenye uzuri,kiukweli niko kiwango huwa naambiwa na me/ke,sasa unanishaurije Boss wangu?