Am soooo tired of being lonely

nafikiri unachagua sana wanaume una focus zaidi muonekano na si kumpima mapenzi ya dhati kwako... pia yaelekea una majivuno na huchukui muda kupima m2 kwa mtindo huo ni ngumu kupata rit choice
 
My dear girl mtu hupata alichojaliwa sicho atakacho. You can never find a perfect man simply because nobody is perfect in every way. Get real, life is an approximation.
 
nafikiri unachagua sana wanaume una focus zaidi muonekano na si kumpima mapenzi ya dhati kwako... pia yaelekea una majivuno na huchukui muda kupima m2 kwa mtindo huo ni ngumu kupata rit choice

nachagua kiasi si sana nikimaanisha kuwa huwa naangalia vigezo vya msingi ambavyo hata wewe ungeangalia
 
My dear girl mtu hupata alichojaliwa sicho atakacho. You can never find a perfect man simply because nobody is perfect in every way. Get real, life is an approximation.

najua siwezi pata perfect man maana hata mimi siko perfect lkn mbona hata ninapopata anionyeshi mapenzi?inakuwa kama sina mpenzi!
 
ivi TF kitanda chako kina kunguni ama nini loln (Kibali anakusubiri mkaangalie Movie and I suggest muwatc "escape from madagascar' lol)

asante kaizer,ur so kind
 
ushauri umetulia huu...omba Mungu sana maana shetani yuko kazini...tafuta profile ya umtakaye then use 'eye technique' to catch him..
 
asante sana marumaru,kikubwa nilihitaji ushauri na mitazamo ya watu kuwa kwanini inakuwa hivi?
 
ushauri umetulia huu...omba Mungu sana maana shetani yuko kazini...tafuta profile ya umtakaye then use 'eye technique' to catch him..

asante moria,naomba nieleweshe eye teknik inakuwaje?
 
Tatizo lako ni kubwa na la kisaikolojia zaidi naomba tuliza akili ukiwa na papara utaambua kupata midume kama lako la awali. Niko via mobile siwezi kukuPM Je naweza kupata namna ya kukupata nikusaidie zaidi?

asante sana kiuhalisia ninahitaji ushauri kama ulivyosema,namshkuru sana RR wajitahidi sana kunipa a,b,c
 
Uzuri wako uko kwenye maeneo gani? Sura, tabia, umbo au kitu gani hebu tujuze ndugu!
 
asante moria,naomba nieleweshe eye teknik inakuwaje?

sisi hushawshka kwa kuona...jicho ni dirisha la moyo...ukimpiga men jicho la udadisi/ushawishi mara kwa mara naye akaliona...atavutika tu,atahisi unamfananisha..then... unamzimia lazima akutokee kukupa 'hujambo' ukijumlisha na ushauri wa russian..
 
vyote ulivyotaja na vingine vingi

Kibali, kuna mtu aliuliza kama unafahamu tofauti ya uzuri na mvuto (attractiveness).....na kama ujuavyo vyote vinategemea mtu na mtu,
 
...ukimpata utafanyaje?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…