Ahaa. Najua swahiba. Hivyo mpaka ukirudi au umeghairi.Swahiba alinialika tangu last week sema si unanijua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wiii naanzaje kwenda kuomba hizo mambo[emoji15] [emoji15]Kumbe mnaalikwagwa my wii, nilijua mnaenda kuomba
HahahaTena lami ya standard gauge[emoji28] [emoji28]
Siku hizi umeanza kuchonganisha watu kama Behaviourist!![emoji28][emoji28][emoji28]Ndo mwanaume wako huyoo mamy
Whaaaat!! Hiyo sikuiona aisee! Masikini maybe anahisi yuko fb ambapo tayari picha zake zipo!!!Aisee. Hapo umegusa penyewe dada ake. Mfano mzuri kuna yule mmoja aliyetuma picha kila muda musha rungu anamwambia tupia nyingine nzuri nayeye anatupia lol.
Nilichoka na kuchoka. [emoji124] [emoji124]
Haahaaaaaa mimi ningezimiaHahaha
Mie ningebadili id kabisaa jamanii
Aaah wewe si ndio una 19 mdogo wangu!! Wewe bado bado mama. Bado mbichiiii.Na mimi dada. [emoji23] [emoji23]
Na kweeeli.. Mie leo nimemiss interview moja nasikia kuuumwaaa....Tupo tu tuna mumunya ubuyu wa zenji
Maybe ni ushamba kweli, uzee nao mzigo mzee mwenzangu.Tunaliona sisi washamba tu[emoji28] [emoji28]
Over my dead body[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaa. Najua swahiba. Hivyo mpaka ukirudi au umeghairi.
Hahaha
Ipo dada ake. Pole sana kwa kupitwa mana tulijionea.Whaaaat!! Hiyo sikuiona aisee! Masikini maybe anahisi yuko fb ambapo tayari picha zake zipo!!!
Ya kwetu jua lishazama[emoji38]Maybe ni ushamba kweli, uzee nao mzigo mzee mwenzangu.
Kapitie uzuri ni nje nje[emoji28] [emoji28]Na kweeeli.. Mie leo nimemiss interview moja nasikia kuuumwaaa....
Sema basi bhanaa.... Yule demu ni moneytalk???? Alikuwa kakaa kitandaniiWapi acha wewe[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Best friend nimekununia hadi mwaka uishe. Hivi kumbe upo!!!Hivi Shule zimefunga?