Mzee mwenzangu usitufanyie hivyo tafadhali. [emoji23] [emoji23]Niko safarini atii afu umeme hakuna. [emoji28] [emoji28] [emoji28]
HahahaWiii naanzaje kwenda kuomba hizo mambo[emoji15] [emoji15]
Sijui wengine but niliombwa aisee afu sijawahi fanya mpaka leo nawaona tu wanavyo tiririka[emoji28] [emoji28]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mie jua lishazama[emoji23]Mzee mwenzangu usitufanyie hivyo tafadhali. [emoji23] [emoji23]
Mie sijuagi kupaka mafuta kwa mgongo wa ben polUmeanza kuchonganisha watu kama Behaviourist!![emoji28][emoji28][emoji28]
Na wanajua kufunguka si mchezo[emoji28]Hahaha
Inahitaji moyo kwa kweeeli... Sio kwa maswali yale
Ukiamka uendelee na hiyo id au..... NingekufwaaaaHaahaaaaaa mimi ningezimia
[emoji23] [emoji23] [emoji23].....hata useme hivyo bado rafiki yangu shunie nampenda sana!Mie sijuagi kupaka mafuta kwa mgongo wa ben pol
Hahaaaaaa sijui kama ningeamka[emoji23]Ukiamka uendelee na hiyo id au..... Ningekufwaaaa
huyo sio mimi kabisaaaSema basi bhanaa.... Yule demu ni moneytalk???? Alikuwa kakaa kitandanii
Duuuh!! Kazi ipo.Ipo dada ake. Pole sana kwa kupitwa mana tulijionea.
Ila aliweka heshima na kuonyesha kwamba sie wadada wa jf sio wanawake wa hovyo hovyo. Mana walizima zao.
Nikitulia nitaifuataa my wii.... Sio kwa kujianika kuleKapitie uzuri ni nje nje[emoji28] [emoji28]
Tena wewe ndio una mengi ya kutueleza bwana.Mie jua lishazama[emoji23]
acha waendelee nitakuwa wa mwisho Kwa kweli[emoji38]
Uzungu bhana sisi na uafrika wetu ndo tatizo[emoji23]Nikitulia nitaifuataa my wii.... Sio kwa kujianika kule
HahahaSijui
Ushilawadu haujawahi kumuacha mtu salama
Transcend njoo uchukue mtu wako ananiharibia tu!
DJ sepetu
Jamani dadaaa. Mie ajuza. [emoji23] [emoji23]Aaah wewe si ndio una 19 mdogo wangu!! Wewe bado bado mama. Bado mbichiiii.
Hivi wanapewaga nini my wii...Na wanajua kufunguka si mchezo[emoji28]
Acha kunipaka mafuta kwa mgongo wa benpol mzee mwenzangu[emoji28]Tena wewe ndio una mengi ya kutueleza bwana.