Na unaanzaje kukubali jamani hata kama ni kweli. Ila nawe shikamoo[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23].....hata useme hivyo bado rafiki yangu shunie nampenda sana!
HahahaHahaaaaaa sijui kama ningeamka[emoji23]
Kwa hiyo ni demu mwingine wa jf.... Nafwa miee
Labda wanalambishwa usimbe[emoji28]Hivi wanapewaga nini my wii...
Hahahaaaa!! Usijali utaufikia tu.Jamani dadaaa. Mie ajuza. [emoji23] [emoji23]
Mzee mwenzanguNa unaanzaje kukubali jamani hata kama ni kweli. Ila nawe shikamoo[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Sitamgeuka tena ng'oo!Hahaha
We mpende tuu
Acha niwe mwafrika tuu jamanii.... Hawajui tuu wanavyochoreka...Uzungu bhana sisi na uafrika wetu ndo tatizo[emoji23]
Wii nakugawa bureeeeKwa hiyo ni demu mwingine wa jf.... Nafwa miee
Mzee mwenzangu hadi unazeeka inamaana umepitia mengi, hivyo una mengi ya kutueleza ili nasi tujifunze bwana.Acha kunipaka mafuta kwa mgongo wa benpol mzee mwenzangu[emoji28]
HahahaNa unaanzaje kukubali jamani hata kama ni kweli. Ila nawe shikamoo[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Wana funguka bhana[emoji28]Acha niwe mwafrika tuu jamanii.... Hawajui tuu wanavyochoreka...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mzee mwenzangu
Hapana aiseee si hapa[emoji38]Mzee mwenzangu hadi unazeeka inamaana umepitia mengi, hivyo una mengi ya kutueleza ili nasi tujifunze bwana.
Vipi hali bado tete[emoji38]Dah!
DJ sepetu
Yaaani seriously... Unaulizwa hogo au bamia.... Na mtu anaandika insha ya jibuLabda wanalambishwa usimbe[emoji28]
Maana si Kwa speed ile ya 4G
WoyoooooSitamgeuka tena ng'oo!
Sharing is caring mzee mwenzangu, tafadhali bwana.Hapana aiseee si hapa[emoji38]