Omba msamahaEti
DJ sepetu
Akweende hukoooAonekane kidume. [emoji1]
Ilikuwaje ukaachika wiiHahaha
Nakugawa bureee... Huyo ulonae anakutosheleza????
Heee hutaki tena[emoji15]Aaargh!
DJ sepetu
Mwanamke mwenzetu huyoo my wii... Aache hizo mamboUjue wewe siyo mtu mzuri[emoji38] [emoji38]
[emoji28] [emoji28]Mwanamke mwenzetu huyoo my wii... Aache hizo mambo
WoooiiiDada unamshauri vipiii mtu mwenyewe kaona lazima umuunge mkono tu
Pole
Cuzoo unahitajika central ukapime mkojo[emoji38]Dada unamshauri vipiii mtu mwenyewe kaona lazima umuunge mkono tu
HahahaIlikuwaje ukaachika wii
Basi kuwa mpole tuNishaomba msamaha hadi magoti yanauma tu!
DJ sepetu
Me ndio mana hizo mambo acha niwe msomaji tuNa binadamu tulivyo wanafiki unakuta watu wanakuchota tu huku wanakusifia ili uendelee kutiririka. Aiseeeh!!! Kuna vitu sio vya kuweka hadharani jamani.
Hahaaaaaa unapenda nini faraghaHahaha
My wii umenishinda tabia ujue... Mara ya mwisho ku do ilikuwa lini
Kiki kikiBadoo hujakuwa, palikuwa hamna sababu ya kulianzisha huu uzi kabisaa....
Hivi ile picha ulopost ni ya moneytalk eeehh
Kwa nini umbikiri binadamu yako???? Ngoja nianze maswali ya interview ile siku sikuuliza maswali...Nimekukosea nn sakayo!
DJ sepetu