[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]So, this Shit is real?
- KANA -
Mbona hasira tenaaAaargh!
DJ sepetu
Nakuonea huruma masikini pole sana
Kwakweli.Me ndio mana hizo mambo acha niwe msomaji tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kweeeli.. Mie leo nimemiss interview moja nasikia kuuumwaaa....
Siamini kama haujanisema[emoji23] [emoji23] [emoji23].....hata useme hivyo bado rafiki yangu shunie nampenda sana!
Kwa heri my wii... Sikuwezii miee????!!!! Unapenda style gani my wiiHahaaaaaa unapenda nini faragha
Hiyo kiki veepeKiki kiki
Hakuna cha kupewa dada na wao wanapenda kujianika tuHivi wanapewaga nini my wii...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na watu wanafunguka aiseeeLabda wanalambishwa usimbe[emoji28]
Maana si Kwa speed ile ya 4G
HahahaBasi tu pale unapoona kitumbua kinamegwa Na mwingine!
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitamgeuka tena ng'oo!
Nini unamiss kwa ex wako wiiKwa heri my wii... Sikuwezii miee????!!!! Unapenda style gani my wii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaani seriously... Unaulizwa hogo au bamia.... Na mtu anaandika insha ya jibu
Umaarufu tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na watu wanafunguka aiseee
Nilichombeza alinipa taarifa na mm nikapokea na kumpa pole nakaaje kimya mm niache kumpongeza sina nidhamu ya wogaAsante ila ulichombeza sana!
DJ sepetu
Hapana kipenzi changu usijal tupo pamoja