Hapana hata mimi cant be yo dota. Na uachwe tu.Nisaidie my daughter!
Baba ako naachwa!
DJ sepetu
Yaani ungeisoma sidhani kama ungekuwa hapa kumshauri....Sikuisoma hiyo interview wala sikujua kama kafanyiwa usaili ila with the dramas he has in here hata huyo mwanamke ana moyo.
Pamoja na kutoisoma, siwezi kumshauri.Yaani ungeisoma sidhani kama ungekuwa hapa kumshauri....
Hata kama ni uongo kuna uongo wa maana ujue... Anajisifu kambikiri mtoto wa aunt yake???? Blah blah blah kibaoMwenzenu anaona sifa, na sidhani kama kuna la ukweli lolote hapa!
Wanawake wengine wana moyo wa lami aiseekabisa hasa ukijua unakiota humu
Aiseeeee utakosa maneno matamu[emoji15]Asante linamo mahaba haya ya mtoto ndo basi[emoji24] [emoji24]
DJ sepetu
Afadhali asingesikia kabisaaBahati mbaya si bora amesikia kwangu kuliko kuambiwa
DJ sepetu
ha haha kabisaWanawake wengine wana moyo wa lami aisee
Afadhali mwayaPamoja na kutoisoma, siwezi kumshauri.
Nakosea lakinii sio kama wewe....Sakayo hujawahi kosea jamani!
DJ sepetu