Am Speechless!

pole sana mkuu!,
Mungu awarehemu marehemu.
 
Poleni sana Mungu atawatia nguvu
 
Kumbe yupo ICU!

Yaa! Mama alikuwa kwenye gari ndogo iliyokuwa nyuma ya coaster iliyopata ajali. So alishuhudia ajali ile kwa macho. Sasa mambo ya mshtuko hakuwa na jinsi zaidi ya ku-colapse.
 
Jamani Xspin wangu mie sijui nisemeje.....innalillahi wa inna illahi rajiun.

Mwenyezi mungu awafariji wote wafiwa, Loh! kweli majaaliwa huwezi jua kesho itakuwaje. Poleni sana.
 
Chrispin, inasikitisha, inatia majonzi, cha msingi tumrudishie Mungu sifa na utukufu, na kikubwa tuwaombee wafiwa wawe na nguvu hususani kipindi hiki kigumu,

Haiyenyi saaaana
 
Jamani Xspin wangu mie sijui nisemeje.....innalillahi wa inna illahi rajiun.

Mwenyezi mungu awafariji wote wafiwa, Loh! kweli majaaliwa huwezi jua kesho itakuwaje. Poleni sana.

Ahsante Shishi. Japo sijaielewa hiyo bold naamini litakuwa dua jema. Ubarikiwe.
 
Chrispin, inasikitisha, inatia majonzi, cha msingi tumrudishie Mungu sifa na utukufu, na kikubwa tuwaombee wafiwa wawe na nguvu hususani kipindi hiki kigumu,

Haiyenyi saaaana

Aika mbe!
 
Pole sana kaka. Tell ur friend, to count his blessings and he will be surprised to see what God has already done for him. E.g. hadi age hii bado alikuwa na wazazi wote wawili etc.
May God give him the courage to go on.
 
Yaa! Mama alikuwa kwenye gari ndogo iliyokuwa nyuma ya coaster iliyopata ajali. So alishuhudia ajali ile kwa macho. Sasa mambo ya mshtuko hakuwa na jinsi zaidi ya ku-colapse.

kwenye maisha kuna vitu vinaumiza/huzunisha sana jamani......eeh Mungu.
 
Pole sana kaka. Tell ur friend, to count his blessings and he will be surprised to see what God has already done for him. E.g. hadi age hii bado alikuwa na wazazi wote wawili etc.
May God give him the courage to go on.

Thanks pal! I will.
 
Tuwaombee wafiwa ili waipokee na kuikubali kazi ya Bwana. Hili ni jaribu kubwa sana katika maisha na ni rahisi sana kumkufuru Mungu.

Mungu akutie nguvu Bwana Chrispin ili ukawe msaada kwa rafiki yako katika hiki kipindi kigumu sana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe!
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe

Pole sana Chrispin....kusema kweli wote tupo kwenye huu msiba mzito ambao umetugusa kwa namna ya pekee

Lakini kwa Mungu kuna msamaha...ili yeye aogopwe na aitwe Mungu

Tuwaombee wafiwa wote jamani!
 
Tuko pamoja mpwa. Senksi!
 
Pole sana Crispin ni mitihani ya maisha tu hiyo lakini yote utaishinda. tuko pamoja kiroho na tunawaombea marehemu pamoja na mfiwa Mungu amuangazie.
 
Pole sana Crispin ni mitihani ya maisha tu hiyo lakini yote utaishinda. tuko pamoja kiroho na tunawaombea marehemu pamoja na mfiwa Mungu amuangazie.
My appreciation JS!
 
Dah mm mwenyewe hapa nimeishiwa nguvu kabisa sijui nipihe Valuu akili ije? maana sielewi la kufanya.
any way mpwa pole sana kwa tukio hili tupo pamoja kwa sala
 
ooh my GOD,inauma sana namuombea huyo rafiki yako MUNGU ampe ujasiri maana ni ngumu sana kusema ukweli mimi basi la mohamed trans huwa sipandi kabisa ni mwiko kwangu.
 
Dah mm mwenyewe hapa nimeishiwa nguvu kabisa sijui nipihe Valuu akili ije? maana sielewi la kufanya.
any way mpwa pole sana kwa tukio hili tupo pamoja kwa sala

Mwenyewe nilichomoka kidogo nikaipiga kiaina lakini naona haijasaidia saaana! Haya mambo bana! Kinachoniuma huyu swahiba nampigia simu inaiiiita weeee hapokei! he is driving me crazy! Ame kolapsi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…