mtoto wa mfugaj
Senior Member
- Jul 18, 2011
- 136
- 29
kwa muda sasa nimekua nikitokea mademu na kua muwazi kwao hasa pale anapotaka kujua msimamo wangu kuhusu ndoa,huwa nawaambia ukweli kua cna nia ya kuoa mapema hivyo tuwe lovers tu,mara baada ya kauli hii hua napokea kibuti na matusi mengi mengi,before nilikua nadanganya lakini walipogundua simaanishi walikua wananilaumu sana na wengine kutishia kunidhuru,hvyo nikaamua from now on i will b telling them da truth,ila toka nimeanza mchakato wa kua mkweli nakimbiwa tu,nisaidieni,je nirudie enzi zangu au?