mtoto wa mfugaj
Senior Member
- Jul 18, 2011
- 136
- 29
Sio kila mtu anashobokea ndoa.Kama huna malengo yanayofanana na mwenzako ya nini kumpotezea muda wake?!Tafuta mwenye malengo sawa na wewe.Ukitongoza kwa ukweli hupati kitu baba kutongoza lazima kuwekwe na chachandu, na maneno yawe matamu matamu yenye kusisimua na kutia hamasa kwa mlengwa. sasa kama unasema ukweli tuu haaaaa hakuna atakayeku feeel, mfano ukisema Unajua mie nakupenda sana nataka tuwe wapenzi tu lkn sio mpaka ndoa.......... wewewe jamaaaaaa weeweeee nani atakukubali!!!!!!! mwambie mie nataka uwe mke wangu bana! utaona response meno yote 34 sijui na mbili utayaona!!!!!!!!!!!!!!
Kama wewe!!Mademu ndio kina nani?
Ndo akili zao zilivyo hao watu!kwa muda sasa nimekua nikitokea mademu na kua muwazi kwao hasa pale anapotaka kujua msimamo wangu kuhusu ndoa,huwa nawaambia ukweli kua cna nia ya kuoa mapema hivyo tuwe lovers tu,mara baada ya kauli hii hua napokea kibuti na matusi mengi mengi,before nilikua nadanganya lakini walipogundua simaanishi walikua wananilaumu sana na wengine kutishia kunidhuru,hvyo nikaamua from now on i will b telling them da truth,ila toka nimeanza mchakato wa kua mkweli nakimbiwa tu,nisaidieni,je nirudie enzi zangu au?
Not 'sometime'. Uongo mapenzini ni MHIM MKUU. Bila uongo mapenz hayaendi. Ths is the FACT.sometimes uongo kwenye mapenzi ni muhimu!
husninyo mambo!mademu ni wasichana warembo kama wewe..Mademu ndio kina nani?
watu washaamka sasa hivi hakuna anaependa kupotezewa muda, hata umdanganyeje akikustukia tu lazima akukache. Sasa jiulize utaruka na wangapi?kwa muda sasa nimekua nikitokea mademu na kua muwazi kwao hasa pale anapotaka kujua msimamo wangu kuhusu ndoa,huwa nawaambia ukweli kua cna nia ya kuoa mapema hivyo tuwe lovers tu,mara baada ya kauli hii hua napokea kibuti na matusi mengi mengi,before nilikua nadanganya lakini walipogundua simaanishi walikua wananilaumu sana na wengine kutishia kunidhuru,hvyo nikaamua from now on i will b telling them da truth,ila toka nimeanza mchakato wa kua mkweli nakimbiwa tu,nisaidieni,je nirudie enzi zangu au?
kwanza mademu wanapenda kudanganywa ukiwa mkweli san hawakuelewi so mdandanye cheza na akili yake atakuelewa tu bila kumwambia kila kitu akishakujua atakuelewa tuKama wewe!!
Na mama yako pia!Kama wewe!!
Adabu yako fupi kama mkia wa mbuzi. Natamani ungetoa comment hii kuhusu wanawake mbele ya mama na dada zako.Ndo akili zao zilivyo hao watu!