Dogo G
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,052
- 440
Mabibie na mabuana hellow,
Sitaki kuianza hii mada na mbwembe nyingi kwani mpaka hapa nna maumivu.Siku ya Leo nimeogopa sana na kujikuta naanza kuwaonea huruma Dada zetu wanaopigania jasho lao pasipo kuwa na wanaume(SINGLE MOTHERS). Na kuona kama wana moyo sana katika maisha yao.
Wandugu,Leo nilikuwa napiga stories na Dada mmoja anayeishi karibu na nyumba ambayo nimepanga na naishi hapo.huyu Dada kanizidi miaka miwili tuu hivi kwahiyo huwa nikiwa sina shughuli yoyote namfuata hapo kwake(geto) napiga naye tuu story mbalimbali hususani za kimahusiano kwani huwa hanifichi ananiambiaga tuu ukweli kwani the way anavyoniona ni kama more than a friend so,anakuwa openly sana.
Sasa wakati tunapiga stories nikamtupia suala LA Jamaa take mmoja ambaye yeye anadai ndie Jamaa wanaependana na sio kitambo wataanza kuishi wote na anadai Huyo Jamaa anasoma chuo kikuu cha Tumaini huko iringa ambapo anasomea faculty ya biashara.Alianza kunielezea masuala mbalimbali na harakati mbalimbali za yeye na Huyo Jamaa akidai wametoka naye mbali toka sekondari(mapenzi yalipoanza) alisema uhusiano wao in wa muda mrefu kama miaka kumi hivi mpaka sasa,Sasa katika kunielezea hiyo histori akaja kunitachi na kunifikirisha sana aliponidokeza kuwa ameshatoa mimba za Jamaa kama tano hivi kwa kushirikiana na Huyo Jamaa.Anasema wakati yupo kidato cha tatu alitoa moja na baada ya kumaliza mpaka kipindi hiki katoa NNE ikiwa zote alishinikizwa na Huyo mpendwa wake akidai hajajipanga na maisha ya kifamilia.
Wakuu,niliwaza sana baada ya huyu Dada kunambia hili suala.Nilishangaa sana na kujiuliza ni upendo gani huu?,hivi in akili au matope yaani unadiliki kujiriski kisa kutotaka kumwacha aende?.Kwa kweli huwa naumia sana napoona binti anatoa mimba kwasabu najua chanzo kikubwa huwa sisi wanaume wajuaji,unamdanganya binti then umelala naye ukamwagia ndani then soon akikuletea news alert unajitoa ufahamu eti atoe hujajipanga na smtmz wengine vitisho juu eti utalea mwenyewe ukiitunza.
Lakini nlimdharau sana na kuona akili zake nyeusi sana,na hapo ghafla nikapata wazo LA uhalisia toka kwa single mamas.kwa haraka haraka nikawaza kuwa kumbe mabinti wengi wanaogopa majukumu ya peke yao hivyo wanayoyaona ndiyo yanafanya wajirisk.Lakini bado akili yangu imeshindwa kuruhusu kuona kama hili swala ni ujasiri..
Mungu yupo kwa wote mtendayo mfano wa hili.hukumu yake ni Kali sana kwa mujibu wa UFUNUO(biblia).
Siku njeema
DOGO g