Ama kweli akutukanae huwa hakuchagulii Tusi, ila pongezi sana Kamati ya Roho Mbaya ya CCM huko Kigamboni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Asilimia 70 ya huu mkoa ni wambea, na wanapenda umbea kuliko chochote kile, msikubali wakawatenganisha wewe na RAS wako..wanapiga majungu sana hawa msiwaone hivi, wanamjua mtu kuliko anavyojijua yeye". Aliyekuwa RC Dar es Salaam-Paul Makonda

ITV Tanzania.

Kwa bahati mbaya siishi Tanzania je, nyie mnaoishi huo Mkoa wa Dar es Salaam na watumiaji wa Mitandao ni kweli wengi Wenu ni Wambea hivi?
 
Ameshasahau ya kwamba na yeye alifikia kilele cha mafanikio yake kupitia mambo hayo hayo! Umbea, fitina, majungu, uzandiki, kujikomba komba, unafiki, upambe nuksi na kila aina ya uovu.

Nitamshangaa sana Rais Magufuli kama atampa tena cheo cha aina yoyote ile huyu Dogolasi aliyelewa madaraka enzi za utawala wake, kiasi cha kumfanya kuwa mwingi wa dharau, kiburi, jeuri na majivuno yaliyopitiliza.
 
Atampa.
 
Back
Top Bottom