Ameshasahau ya kwamba na yeye alifikia kilele cha mafanikio yake kupitia mambo hayo hayo! Umbea, fitina, majungu, uzandiki, kujikomba komba, unafiki, upambe nuksi na kila aina ya uovu.
Nitamshangaa sana Rais Magufuli kama atampa tena cheo cha aina yoyote ile huyu Dogolasi aliyelewa madaraka enzi za utawala wake, kiasi cha kumfanya kuwa mwingi wa dharau, kiburi, jeuri na majivuno yaliyopitiliza.