Ama kweli Chura ndio Shetani Lenyewe

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Anajulikana kama SHUNDU, CHURA, BANDA LA UANI, LENS MBINUKO, REVERSE, SOFA na mengine mengi ambayo waja wamebatiza.
Kiukweli me mwenyewe ni muhanga wa hili dubwana, likipita au kupishana nami lazima ni rotate shingo 360° hata kama la Dent, haina Maana yoyote ila basi kurefresh tu.

Nikiwa kwenye hivi vijiwe vyetu vya Gahawa huwa nasikia wakinena,kuishi na Mke bila ya SHUNDU,
nisawa unaishi na msela mwenzio (room Mate[emoji4]).
Wakaenda mbele zaidi ati 'ukiona mkeo anapiga mswaki hata hakuna vibration yoyote from backbencher side,Aisee my friend jua una mzeeBaba ndani[emoji22].
Ama hakika wacha Chura aruke ruke kwani ndio faraja yetu.
 
Uzuri wa nyumba ni choo bhana !
Na uzuri wa choo si ukubwa wake tuu, bali Ulaini, na wepesi unaopata ktk kumaliza haja zako, vyoo vingine vinanukia atii
Halafu cho chahitaji matunzo na ustadi wa kukitumia. Wengi wana vyoo vzuri lakini hawajui kuvitunza na kuvitumia
Ajabu ya choo waweza pita mikocheni ukakuta choo kibaya ukapita tandale ukakuta choo kizuri
 
Hazina ishu hizo chura..raha nayoitafuta Mimi ni kupiz tu... mengine mtajua wenyewe na miujinga yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…