Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ha ha ha ha ha huyu bwana mdogo Nasibu Abdul aisee mwacheni kama alivyo kwenye sanaa hakuna wa kumlinganisha naye maana mwisho wa siku utatumia nguvu kubwa na kuumbuka mchana kweupeee.
Unaambiwa wale vihele hele wote ambao walikuwa wanajifanya team Kiba kindaki daki kuanzia yule dada anayeishi Marekani bingwa wa kukandia maisha ya watu wote chalii.
Unaambiwa kwa sasa habari ya mjini ni kanyaga kanyaga tu kila kona , hata wale wazee wa mawingu (Clouds) nafsi inawasuta wanatamani kuipiga hii ngoma ila wanaona aibu mwisho wa siku wanaicheza kimya kimya kukwepa macho ya watu.
Yani huko aliko yule mzee wa Yooooooo anazidi kukiri kwamba huyu bwana mdogo si level zake ila hakuna namna lazima atembelee nyota yake ili na yeye ang'ae.
Unaambiwa kwa habari za chini ya kapeti serikali wanaangalia ni namna gani wafanye ili kumpa Diamond Platnumz heshima inayomstahili maana anasuikuma sanaa yetu kwenye mataifa ya mbali kwa ubunifu wa hali ya juu mno hivyo kuongeza chachu kwa wasanii wengine kufuata nyendo zake.
Kanyaga kanyagaaaaaaaa.,#Huu mchezo# Usiuchezee wewe # #Mdomo koma # Kazi inaongea#.