Ama kweli koro show ilipofikia watu walie tu

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,163
Hi mbinu tulisema tokea mkulu alivosema wale jamaa watabangua kwa meno
 
Kuna mbaazi
Kuna kahawa, zote hizo ziliingiliwa!
 
Jiwe sifa zote za kujifanya ananunua korosho zimemshuka kabaki na upara wake ka sola panel zee linazidi kuwatia umaskini watz
 
Jiwe suala la bishara na uchumi kili tu hauliwezi..kama kweli rais alikua na nia ya kuwasaidia watu wa kusini kuhusiana na bei ya korosho angeongezea kile kilichopelea kutoka katika bei za minada ya awali.

Kuliko hili alilolifanya ni kutiana umasikini hali ya kusini imezidi kua mbaya watu wanazidi kurudi katika lindi la umasikini wa kutisha.

#maendeleoHayanaChama.
 
Sioni cha kuchangia hapa, maana kama haya ndo maneno ya Waziri, sijui Mtendaji kata aseme nini?
 
Tunakula na maganda au tusubiri masoja wazibangue?

(naamini waziri atajibu hapahapa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…