Ama kweli kua uyaone minyanduo haina size chipukizi ndio wamejaa maufundi

Imagine kuzeeka huku wale uliowaringia wakikupuuza. Maringo huwa mwisho wake sio mzuri.
 
Usiombe uingie kwenye 18 za hawa upcoming wa 2000 ni balaa, wanapiga shoo kali sana, unachotakiwa mpatie vibes anazotaka, mfano pombe na msosi.

Hivi vitoto vya 2000 vinajua mpaka vinakera shoo mwanzo mwisho.

Ni hayo tu

Wadiz
Uko sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…