Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Ntobi na jamaa yake Yericko Nyerere hatimaye wamebaki hadithi na maujinga yao ya kumtweza Lissu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kumalizika.
Ninao uhakika kwa sasa nafsi zao zinapitia wakati mugumu mno huku wakiwaza na kuwazua isivyo kawaida.
Tujifunze kuwa na kiasi hasa lijapo suala lihusulo siasa.