Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 707 Reaction score 2,572 Jan 22, 2025 #1 Ntobi na jamaa yake Yericko Nyerere hatimaye wamebaki hadithi na maujinga yao ya kumtweza Lissu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kumalizika. Ninao uhakika kwa sasa nafsi zao zinapitia wakati mugumu mno huku wakiwaza na kuwazua isivyo kawaida. Tujifunze kuwa na kiasi hasa lijapo suala lihusulo siasa.
Ntobi na jamaa yake Yericko Nyerere hatimaye wamebaki hadithi na maujinga yao ya kumtweza Lissu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kumalizika. Ninao uhakika kwa sasa nafsi zao zinapitia wakati mugumu mno huku wakiwaza na kuwazua isivyo kawaida. Tujifunze kuwa na kiasi hasa lijapo suala lihusulo siasa.
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 1,499 Reaction score 2,667 Jan 22, 2025 #2 tujifunze kuweka akiba ya maneno..
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jan 22, 2025 #3 View: https://youtu.be/3Uz9in9k_6k?si=eA4GZbkgoOPp05aU😆😆😆 Minyukano ilikuwa ni mikali, uchaguzi umeisha, twendeni tukapambane na utawala wa kiimla wa CCM. STRONGER TOGETHER✌️
View: https://youtu.be/3Uz9in9k_6k?si=eA4GZbkgoOPp05aU😆😆😆 Minyukano ilikuwa ni mikali, uchaguzi umeisha, twendeni tukapambane na utawala wa kiimla wa CCM. STRONGER TOGETHER✌️
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jan 22, 2025 #4 Mkuu politics is dirty game sifikirii Kama unaweza kuchukulia serious haya mambo ya kisiasa japo yanagusa maisha yetu.
Mkuu politics is dirty game sifikirii Kama unaweza kuchukulia serious haya mambo ya kisiasa japo yanagusa maisha yetu.