Ama kweli nabii hakubaliki kwao! Tazama Rayvan na Harmonize walivyopokelewa Burundi

Ama kweli nabii hakubaliki kwao! Tazama Rayvan na Harmonize walivyopokelewa Burundi

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli

Licha Rayvan na Raj boy Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini Burundi huwaambii kitu kuhusu hawa madogo maana walivyopokelewa utadhani ulikuwa msafara wa Barack Obama ,sasa hapo wameenda watoto je angeenda baba la baba Chibu dee Diamond platinums ingekuaje????

1474739151963.jpg

1474739161197.jpg
 
Kanumba kafa na bongo muvi waliobakia wauza sura tu
Sawa, lakini hawa wa Bongo Movie tunawasemanga tu kv watu hatufahamu! Ni kweli na wenyewe ni sehemu ya tatizo lakini unlike muziki, kwenye filamu ujanja ujanja hakuna! Na kwa mazingira ya Tanzania hamna namna nyingine zaidi ya ku-apply ujanja ujanja kv film schools hatuna hata kwa level ya cheti!
 
baaache bakachukue frangaaa ya kwee kwa bujumbura
 
Kwa hapa tulipofikia; tunaweza kuwapumzisha Chibu na Ali Kiba na bado Watanzania wakaendelea kusumbua na kuwa top kwenye ukanda huu! Bado naililia Bongo Movie... sijui lini ita-take over.
Tuanzishe sasa mimi na ww kaka
 
Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli

Licha Rayvan na Raj boy Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini Burundi huwaambii kitu kuhusu hawa madogo maana walivyopokelewa utadhani ulikuwa msafara wa Barack Obama ,sasa hapo wameenda watoto je angeenda baba la baba Chibu dee Diamond platinums ingekuaje????

View attachment 406273

View attachment 406274
Huu ndo uchochezi hivi Obama huwa apokelewa hivo kweli? Watu hawafikii hata 200
 
Back
Top Bottom