brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Kanumba kafa na bongo muvi waliobakia wauza sura tuKwa hapa tulipofikia; tunaweza kuwapumzisha Chibu na Ali Kiba na bado Watanzania wakaendelea kusumbua na kuwa top kwenye ukanda huu! Bado naililia Bongo Movie... sijui lini ita-take over.
Sawa, lakini hawa wa Bongo Movie tunawasemanga tu kv watu hatufahamu! Ni kweli na wenyewe ni sehemu ya tatizo lakini unlike muziki, kwenye filamu ujanja ujanja hakuna! Na kwa mazingira ya Tanzania hamna namna nyingine zaidi ya ku-apply ujanja ujanja kv film schools hatuna hata kwa level ya cheti!Kanumba kafa na bongo muvi waliobakia wauza sura tu
hongera mkuuBujumbura ndo nyumbani nakumbuka nchi yangu insha'allah nitarudi home
Na mimi nashangaaa hao watu wengi wapo wapi!!!! Hance mtanashat atakuwa na interest binafsi WCBSasa hao watu 10 ndio wa kutuanzishia thread?
hha haaah na magari mawili jamaa anakwambia kama ObamaSasa hao watu 10 ndio wa kutuanzishia thread?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]A
hha haaah na magari mawili jamaa anakwambia kama Obama
Kuna watu wana msemo wao: USIMUAMINI MWANASIASA. Mimi nakupa ukweli: USIMUAMINI MTANZANIA.Sasa hao watu 10 ndio wa kutuanzishia thread?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu wana msemo wao: USIMUAMINI MWANASIASA. Mimi nakupa ukweli: USIMUAMINI MTANZANIA.
Tuanzishe sasa mimi na ww kakaKwa hapa tulipofikia; tunaweza kuwapumzisha Chibu na Ali Kiba na bado Watanzania wakaendelea kusumbua na kuwa top kwenye ukanda huu! Bado naililia Bongo Movie... sijui lini ita-take over.
Huu ndo uchochezi hivi Obama huwa apokelewa hivo kweli? Watu hawafikii hata 200Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli
Licha Rayvan na Raj boy Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini Burundi huwaambii kitu kuhusu hawa madogo maana walivyopokelewa utadhani ulikuwa msafara wa Barack Obama ,sasa hapo wameenda watoto je angeenda baba la baba Chibu dee Diamond platinums ingekuaje????
View attachment 406273
View attachment 406274