Ama kweli ukeweza ni moto wa duniani.......!

Haya mambo ya kung'ang'aniana hata kama mapenzi kwishney eti kisa mme/mke wangu ntafikiri mligundishwa pamoja,
jali maisha yako sio kusumbuka na species ambazo umekutana nazo hapa duniani na hujui zimeletwa kwa malengo gani,
 
Wanaume mnaona haya. kama siyo kutotosheka kwenu haya yangetoka wapi.
 
mhh mke kafa na presha tu huyo
 
Dunia bana, kweli huu ni uwanja wa fujo na vurugu kibao.
 
Hapo wooote wanweza kuwa na makosa. hakuna mwanaume hata mmoja anaye taka matatizo ya kuwa na wake wawili isipokuwa tu kuna mambo ambayo anayakosa kwa mke wake.
unajua wanawake wengine wana viburiiiii, majibu mambaya mwanamke unarudi kutoka kwenye mihangaiko umechoka then unaomba msosi unapokelewa na matusi. km. mwanaume gani wewe unarudi kwa mke wako usikuuuu, umecheza na mihawara yako huko ndo unakuja kwa ngu saiz .mwambie house girl akutengee chakula mimi nimelala usinisumbue., hapo hata usiku mtalala mzungu wa 4. hata kama ni mimi natafuta kimada japo wa kunifariji. ila kosa kwa manwaume ni kumsengenya mke wake kwa kimada na huyo jamaa alifanya vile ndo maana kimada akaamua kufanya kweli. siku njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…