Amaboko ni hit song ilotu-prove wrong wengi wetu

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Ni ukweli usiopingika wakati wimbo huu unatoka wengi wetu tuliuchukulia poa na kuunanga kwa nguvu zote bila hata kuweka akiba ya maneno.

Amaboko tuloinanga na kuwaona wameishiwa waloiimba leo hii ndo hit song inayosumbua kila kona ya mtaa, yaani hukatizi kona mbili bila kuisikia amaboko, pia watoto nao ndo wimbo wao pendwa kwa sasa wanauimba popote wawapo.

Kupitia uzi huu tuwatakeni radhi akina Rayvany & Diamond coz wametuprove wrong kinyume na matarajio yetu, hakika hawa mabwana wana jicho la music na wanajua kuzitune fursa.

Next time tuweke akiba ya maneno, tusije onekana mashabiki oya oya tusojua kitu about music.
 
NGOJA HARMONIZE NAE ATATOA AMACARLINYOS, NYIE SI MMETOA AMABOKO?😉
 
Umeandika nini sasa?[emoji1787][emoji1787]wazazi wako wanajua wamesomesha kweli mtoto wao ndio unakuja kuandika upupu kama huu?[emoji1787]
dada ahsante kwa mchango wako, soon tutakutigo pesa ajili yakukupa pongezi.
 
Namba hazidanganyi,hii ngoma imezipita ngoma zote zilizotolewa kipindi kimoja.
 
Namtafuta mwanamke aliechoka na kuumizwa na mpenzi na sasa anataka kujenga maisha yake

nataka kumuuzia tofali na mabati..
 
In short siku hizi WCB wanaimba nyimbo za kufurahisha watoto, hasa watoto wa shule za msing ambao hawana hata smartfons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…