Amakweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi

hot cassava

Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
29
Reaction score
4
Ni kijana mtanashati, Mpole, mstaarabu, mrefu japo sio sana nina sex body ninamvuto wa kimapenzi wasichana hunimbia. Japo sio handsome wasichana hunipenda sana. lakini nina uume mdogo, miaka 20 now sijawahi sex na msichana yeyote kisa tu nahofia kuzarauliwa kwa umbile langu dogo.

SO IVI NIKWELI KUNA DAWA YA KUNENEPESHA NA KUREFUSHA UUME?

MSAADA please maana kunakoelekea nitaaibika nikaonekana huwenda sio rijali.
 
Hivi urefu wa uume unapimwa wakati gani..ikiwa imelala au ikiwa imesimama
 
Vivulana vya siku hizi ni shida sana
sasa bro we jichanganye uone kama mke wako hutamsahau maana naona mnadharau sana student. wengne tumejaaliwa ujazo humu na one match u loose your wife completely maana tukiapata huwa tunacheza vizur kama pele au ,mesi na ronaldo. inshort tunaitumia nafasi vizur. na tambua safar moja huanzisha na nyingine on so doing unakua mke huna
 
Anataka kuwa Porn-star labda.

inchi 12 kitu gan bana, wato tunakaribia 15. nahatutak vibikra maana tunapoteza mna na kero nyingi. cc ni milf na moms kwa kwenda mbele na wanaificha yote kesho unapewa pongezi. na kwa mambo ya ugali na kisamvu ndo usiseme
 
Jiamini kwanza bado wewe ni kijana mdogo itaongezeka tu usiilazimishe utakujajutia.... alfu 5 inche inatoshaa kumridhisha pia na mimba juu ndugu..
Kuna kauli za mjini eti viuno peleka twanga pepeta wao wanataka pesa so wewe tafuta pesa then hiyo 5 inche yako wataona ni 12 inche..:wink:
 

Hii inaapply kwa mahusiano ya muda mfupi tu.
Atachapiwa mpaka uzeeni
 
Ccm waje kujibu ndo wameharibu vijana wetu
 
Huyu ndio baba/ kichwa cha familia ya baadaye!
Majanga kwa kweli!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…