LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 532
Hakuna riba jisomee jinsi "islamic banking inavyofanya kazi" usitoe majibu kabla ya ufahamu
Ni darsa kubwa kabisa hilo...
Benki inapataje faida? Kwa mfano nikikopa TSh 10m/- kwa ajili ya "General purposes" nitarudisha TSh 10m/- baada ya lets say 2yrs hiyo hiyo au kuna "cha juu?" Kama kuna "cha juu" kinaitwaje?
Iyo benki haitozi riba , raha ilioje.
Tuagizieni benki ilipo tuchangamkie mikopo bila riba.
Kwenye fedha hakuna ukafiri! Ukitaka kujua hilo peleka mchango wa kujenga msikiti uone kama watakataa!
Huo ndio uislam..peace and fairness
Unajua maana ya riba?? tuanzie hapo..ili nijue nianze vipi kukufundisha? nini maana ya riba?
jimama lizee ka wewe unashindwa kujiheshimu.Tena makafir ndyo wa kwanza ili waone raha ya kukopa bila riba.
Tena makafir ndyo wa kwanza ili waone raha ya kukopa bila riba.
Benki inapataje faida? Kwa mfano nikikopa TSh 10m/- kwa ajili ya "General purposes" nitarudisha TSh 10m/- baada ya lets say 2yrs hiyo hiyo au kuna "cha juu?" Kama kuna "cha juu" kinaitwaje?
Mkipewa mafungu yanayotokana na kuuza kitimoto mtapokea?
Huo ndio uislam..peace and fairness
Kunakuwa kuna "fixed fee" ambayo unaelewa toka mwanzo na haiongezeki kama riba. Kumbuka hapa unaongelea "general purpose" na si "specific loan".
Jibu maswali yangu kama utaweza! Mtu akikopa TSh 10m/- atarudisha TSh 10m/- au zaidi? Kile kinachozidi, kinaitwaje?
Njoo tu hata mkopo wa kuanzisha utapewa, wacha kiti moto hata kiti baridi.
Hahaaaa, I said it! Lazima riba inajulikana kwa jina jingine, yaani "fixed fee!"
Ndio maana nakuuliza kwanza unajua maana ya riba?
Naomba ujibu hilo kwanza halafu nikufundishe "islamic financing" vipi mbona una haraka?? nataka kujua uelewa wako wa mambo ya banking
Nini maana ya riba? acha ushabiki mkuu
Nilifikiri unataka elimu kumbe yale yale ushabiki na chuki za kanisani
Kama hutaki kutoa elimu hulazimishwi, maana umeshaanza kejeli!