Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania


Topical kwenye hiyo nyekundu. Je mtu akikopa pesa kwa ajili ya project fulani kwa mfano unakopa kwa ajili ya kilimo, unatumia pesa karibu yote kulimia, kupandia na kupalilia kisha jua kali ikapiga mazao yote yakakauka. Hapo benki inachukkua 100 % risk au inakuwaje kwenye hali kama hiyo?
 

hii ya uk kukumbatia benki hii si suala la kidini bali la uchumi wao, nao ni kuvutia more foreign deposit kuliko zolizoko nchini mwao nazo ni za kutoka katika familia za kitajiri za bara arab, sasa si je tuna vutia hao wawekezaji?, wao ukiangalia ratio ya makafir na waislamu ni ngapi mpaka iwe ni tishio kwao? ni wazi wameisha piga mahesabu ya faida na hasara, sisi ratio yetu ni i ipi 35% ? 50% ? nk
 

Risk sharing rates ni pre-determined mnakubaliana kabla say bank 30% wewe 70% au vinginevyo kama ambavyo wataalum wa benki watashauri kutegemeana na project..
 
yeah im there already,ni bora nilambwe riba lakini im safe!hivi unadhani hiyo bank yako ya kiislam inajiendesha bure?no way lazima kuna vitu unawalipa bila kujijua otherwise isingekuwepo.nakupa pole tu kujiingiza kwenye bank ya *******

Sawa mkuu wewe una akili endelea kulambwa riba kuna tatizo, tuache sisi twende kwenye benki yetu kuna tatizo? si ndio uhuru yanini kuitana wajinga au werevu mkuu..
 

siyo kweli, ni swala la both iman na haki za waumini wa kiislam uingereza

Waingereza hawana wivu wa kijinga kwa waislamu wananchi wenzao kuliko wabong kila kitu chuki tu agh!
 
bora wafanye hivo vip mimi kama JAMES naruhusiwa kufungua account?????????????

Usikurupuke, soma taarifa mpaka mwisho, halafu tafuta jibu la swali lako.
Si unajua mitihani ya kiswahili na kiingereza ipo katika mtindo huo. Sasa ni wakati wa kutumia shule yako ndogo.
 
siyo kweli, ni swala la both iman na haki za waumini wa kiislam uingereza

Waingereza hawana wivu wa kijinga kwa waislamu wananchi wenzao kuliko wabong kila kitu chuki tu agh!

mkuu kweli kabisa.. mfano ka redio kamoja Iman kanawatoa povu .. ati kina vunja amani ... NBC walipoanza kutoa service ya sharia wengine wakaja na uzi Jf ati wanaachana na hiyo bank...

anyways Amana bank ndio hiyo.. na TV iman soon itakuwa hewani...


 
Mkipewa mafungu yanayotokana na kuuza kitimoto mtapokea?
kuna kanuni na sharia (sheria) Waislaam hatuchanganyi mambo (haram na halali) kama vile mvinyo kuuita damu ya Yesu na kuinywa altareni !
 
Hahaaaa, I said it! Lazima riba inajulikana kwa jina jingine, yaani "fixed fee!"
.......ndio maana iko post huko juu umeulizwa kama unaelewa riba na jinsi inavyofanya kazi ili kama hujui upigwe darsa ! Ukagoma, sasa hujui tofauti ya 'fixed fee na riba'
 
Kwa hiyo kabla ya Uislamu na Muhammad kumbe manabii wote waliotangulia walikuwa makafiri?
Hawakuwa makafiri ! Kwani ukristo haukuwepo wala uyahudi ! Wala hakuna nabii aliyefundisha vinavyofanana na hivyo !
 
Nina wasi wasi kidogo na hawa jamaa zetu kama benki hii itakuwa endelevu. Kama Chuo cha Morogoro kimewashinda sijui nini kitatokea baadae possibly DECI nyingine
 
Aisee nimeipenda hiyo; nitafungua a/c huko! Ila nikienda mie Diane na kimini na kichwa wazi si nitatimulliwa?
 
kuna kanuni na sharia (sheria) Waislaam hatuchanganyi mambo (haram na halali) kama vile mvinyo kuuita damu ya Yesu na kuinywa altareni !

Kwa wakristu mvinyo si haramu; so tumia mfano mwingine!
 
Tufahamisheni, kama benki haitozi riba inaweza vipi kuendesha shughuli zake za kila siku.

Bank charges zipo kama kawaida! Riba ni pale ww utakapo hitaji kutumia amani ya bank.

Riba/intrest ni zile zile ila kwa mfumo wa kislam wanakua linient wakati wa kudai unapo default
 
Kwa wakristu mvinyo si haramu; so tumia mfano mwingine!
...........una ushahidi wa hilo? Pale utakapojua maana na tofauti ya haram na halal, ndipo utaweza kujua kuhusu mvinyo !
 
Nina wasi wasi kidogo na hawa jamaa zetu kama benki hii itakuwa endelevu. Kama Chuo cha Morogoro kimewashinda sijui nini kitatokea baadae possibly DECI nyingine


Chuo cha Morogoro kinaendelea vema na ndio chuo pekee Tanzania yenye best ratio lecturers vs. students na wako qualified (PhD) holders..

Huwezi kulinganisha na tumain yenye walimu wenye sifa ya mwalimu wa sekondary..wao wanajali pesa tu..huduma na elimu duni muslims are not for quantity but quality..

Banki hii kwa uwezo wa Allah itashamiri, hadi ukereke kwa wivu..acha wivu dogo kwanini unapenda wenzako kuharibikiwa na unaombee wenzako mabaya?? una nini wewe..
 
ofic zenao ziko wap?? nikawaha kufungua account naweza kupata upendeleo wa mkopo
 
ofic zenao ziko wap?? nikawaha kufungua account naweza kupata upendeleo wa mkopo

hiyo avatar yako sijui kama watakupa mkopo (joke)

Mkopo ukiweza masharti na ethics za mkopo utapata, nendeni karibu na ppf tower
 
Hiyo kiyu inawezakana tena sana mdau maana bank charges zingine zinakuwepo except riba kwa mikopo,kizuri ni kuwa sheria na taratibu nyingine za kibank zinafuatwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…