PingPong
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 926
- 160
Wasalaam wakuu...naomba kuuliza kuwa kati ya hospitali ya temeke, amana na mwananyamala ipi ina nafuu kwenye utoaji huduma ya afya kwa upande wa vipimo na huduma nyingine kwa wagonjwa.....kwani natumai hapa wapo wanaofanya kazi katika hospitali mbalimbali .....naombeni mchanganuo wenu kwa yeyote anaejua....shukrani